Majanga kwakweli

brytr Nichol

Member
Nov 10, 2019
80
74
Kuna shida imejitokeza katika afya yangu mpk nashindwa kuelewa sababu ni nini?
Hapo awali nikiwa katika harakati za kukutana na mwenza mashine ilikua inasimama vizuri round zote lakini hivi karibuni mzunguko wa kwanza nitakua sawa lakini shida inaanza round inayofuata mashine hata ikisimama haikazi sana na pia nguvu ya kurudia tendo inaondoka kabisa.hata hivyo nakuwa nahema sana pumzi ni kama inakata hivi.sijihusishi kabisa na swala la punyeto kwa muda mrefu sasa shida ni nini haswa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demu unayemgegeda huna stim nae kaka. Tafuta mrembo haswa uone raha yake... Utaunganisha magoli tuu
 
Ni jambo la kawaida tu kama mmezoeana na mnaishi pamoja au kama kakucheat hivi karibuni na ukakubari kumsamehe inaweza chukua muda kurudi katikahali yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom