jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
aisee yamenishindaKwa raha zako nenda ............wapishe wanaoweza...kama fees ya kijijini imekushinda mwanamke wa mjini utamuweza?
Umejidai waweza mwanzo sasa hata ujavuka mtu unaanza kulalama........
Minadhani umeshashiba sasa unatafuta sababu vp mwanzo umsaidie halafu sasa unasema umeshindwa? ulianza kujionyesha unazo na ukaanza oooh mtoto wetu vipi anahitaji nini ili upewe bila kipimo,sasa umepewa ushashida unaaanza kuchomoa vibaya ivoo! ebu msaidiee...aisee yamenishinda
mkuu sasa nitalipaje ada ya mtoto wakati baba yake yupo,mi nitalipia papuchi tu.Minadhani umeshashiba sasa unatafuta sababu vp mwanzo umsaidie halafu sasa unasema umeshindwa? ulianza kujionyesha unazo na ukaanza oooh mtoto wetu vipi anahitaji nini ili upewe bila kipimo,sasa umepewa ushashida unaaanza kuchomoa vibaya ivoo! ebu msaidiee...
mkuu sasa nitalipaje ada ya mtoto wakati baba yake yupo,mi nitalipia papuchi tu.
sio kijijini sana unavyofikiri mkuu.ni shule ya private mkuu wanguAliyekuomba ada hajui kama wewe si baba wa mtoto?
Kijijini ada sh ngapi?
Aliekuomba anaelewa wewe ndo wakumsaidia umeshindwa mwambie Asipoelewa ndo utimke
Nb. Kutoa ni moyo
nimeingia kwenye uhusiano na mdada mmoja alikua ameolewa sasa ameachana na jamaa yake na walibahatika kuzaa mtoto mmoja,sasa huyu dada haishi na mtoto,mtoto yuko kwa bibi yake kijijini,nimekua namhudumia kwa kila kitu ni kama un inavyohudumia wakimbizi na mimi nimekua nahudumia kila kitu.shida juzi kanieleza mtoto kafukuzwa shule ada inahitajika,sas nikajiuliza inakuaje nitoe ada tena na baba wa mtoto yupo wadau hii imekaaje?yaani hadi hamu ya papuchi imeisha p.umbu zote zimeingia ndani mi inabidi nile kona nisije nikafa siku si zangu maana hii mizinga ya syria imenishinda.
yaani ni shida binti sayunijembe afrika yani umeishiwa hamu ya papuchi kisa kulipa ada ya dogo acha hizo bana
yaani ni shida binti sayuni
aisee nasepaumesema unahudumia kila kitu ada imekushindaje??? nina hakika mtoto bado mdogo atakua msingi tu ina mana hela imekushinda? mtoto ni malaika hana hatia kutoa ni moyo si utajiri kama yamekushinda sepa kimya kimya
aisee nasepa