majambozi..online???


Be blessed for this usefull post, teachings and advice.
May God grant you wisdom and his power forever.
 
:clap2::clap2: hapo ndiyo penyewe, amua sasa kuonyesha au kuficha jamaa asijekutosea hapo. Uamuzi ni wako dada, mapenzi ya picha hayo siyo mazuri kama mpare kura ugali kwa picha ya samaki, MTOSE HUYO HANA MAANA, angeanza kukuonyesha yeye zake kama anaona kamchezo hako kazuri:laugh::laugh::A S thumbs_down:
 
Uzinzi huo, kawaulize sodoma na gomora, hapa tunajadili nchi inavyokwenda kuzimu na vizazi vyetu
 
Uzinzi huo, kawaulize sodoma na gomora, hapa tunajadili nchi inavyokwenda kuzimu na vizazi vyetu

dahh afadhali ...kumbe nchi tu ndo inakwenda moton SISI BNADAMU TUMEPONA dahhh asante:clap2::clap2:
 
nin tena womanizer wangu jaman?
maneno tu ayo ata ukutan yapo....USIOGOPE!!!!
Hapo kwenye red nimepapenda sana Rose wangu.......bacha we ulie tu sasa, mtoto ashajimilikisha mwenyeweeeeeeee bila kokoro wala kukuru lol.
 
MAPENZI KURIDHISHANA BANA,,MWONYESHE AKUPENDE ZAIDI NA ZAIDI....:coffee:
 
Kwa hiyo mmekoncludi nini? Paulina Achojoe blauzi ama?
 

That is very simpo, mwambie adindishe dudu lake kisha akuonyeshe wewe kwanza kwenye screen yako!!
 
ushavua wewe, huan lolote, yaani unakubali kuvua nguo kwa mtu usiyemjua, dah, nyie wanawake noma.
 
Kwani ni usimvulie au unamalapa?

hahahahahaaaaaaaaaaaaaaa kama ulikuwepo?!!!! najiuliza nikimvulia,si atatokomea mwanawane?!!ngoja niendelee kumvutia kasi...:laugh::laugh::laugh:
 
enhee niambie unafanyaje kuchukua hizo picha?? weka hapa kwa faida ya wote wenzangu na mie tusiojua hio kitu...:twitch::twitch:


Kuchukua picha ni rahisi kwani kwenye window ya skype kuna option kwa juu ya ama snap au blast. Ukisnap unapiga picha moja na ukiblast zinajipiga tatu, na zinajisev kwenye youcam file. Kurekodi video zipo program kadhaa ambazo ukidownload mojawapo unaweza kuwa unamrekodi ntu wakati mnachat....

Umenipata???
 

Usishangae Mama hizo ndizo gono za kwenye mtandao. Unapoingia huko ujue wapo wengi ambao furaha zao ukamilika wanapoona utupu wa wanawake hata wasiowafahamu. Ndio maana biashara ya on line dating inashamiri zaidi kuliko video za porn. Maana hii ni live na mnaweza kuongea na hata kuigiza kama mko kitandani na jamaa likawaka na kumaliza. Kama mzungu basi akiona chuchu moyo unaenda mbio. Na unapoonekana unatafuta mpenzi kupitia mtandao basi na wewe unawekwa kwenye kundi la wapweke ambao hawana njia nyingine ya kutimiza kiu yao ya ngono bali kupitia mtandao. Falsafa ya on line dating inatoka na hali ya maisha ya wenzetu ambao maisha yao ni kazi na upweke ni mwingi sana. Nakumbuka nilipokuwa Chuoni Ulaya Miaka hiyo kabla ya mitandao au simu za viganja!!! tulikuwa tunapewa huduma ya contact telephone. Huduma hii ilikuwa mahsusi kwa wanaoishi peke yao katika nyumba. Na ulipokuwa ukiinua mkonga wa simu upande wa pili atatokea mwanamama iwapo wewe ni dume au kaka iwapo wewe ni jike. Watu hawa hawakuruhusiwa kutoa taarifa zao binafsi wala kujulikana kwako ila uliruhusiwa kuongea lolote ambalo unaona linafaa hata ikiwa kukusaidia kingono. Hata sasa huko majuu ikifika saa sita usiku zipo TV stations na hata redio ambazo ubadili vipindi na kuweka porn na pia kuonesha live wanasasasuana na unaruhusiwa kupiga simu au kurusha picha zenu live mkiwa kwenye majambos. Mfano ni e tv ya SA. Kwa hiyo lazima ujue masharti na vigezo vya kila mchezo. Kazi kwako mama.
 

Pauli uko Tandahimba? Maana wanaume wote waliojaa mijini inakuwaje unakosa wa kukuliwaza? Nicheki PM, naweza ku-volunteer katika zoezi hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…