majambozi..online???




jamani hii mimba changa inamsumbua kweli dear wangu,
Na ndio kwanza miezi miwili na nusu lol...
Na vitunguu tena lol....!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hapo kwenye red mkuu na unakuwa kama limbukeni fulani.....kwani usingetaja mzungu isingeelewa .......kaaaaaaaaazi kweli.

mmmmnh kwani yeye kutaja mzungu imekupuguzia nini?-mie imenirahisishia kujua kwao haya ni mambo ya kawaida na kufuatana na majibu ya hii thread wengi kwetu hili sio jambo la kawaida/hatuko tayari kulifanya...
 
Hapana mwenyekiti... Ni vibabu uchwara vinachakachua. Hiyo kazi ni yangu peke yangu.

Unaonaje nawe ukaanza kukagua viuno vya wagomaji?

hahahahah.......sijui huwa mnawazaga nini mwe!!
 
I am, kwa mwanaume aliyeacha wanawake wote duniani akanioa mimi......jamani,hilo mbona dogo kufanya,na zaidi ya hayo......:laugh::laugh:

Umeongea kitu cha busara sana ambacho wanawake wengi hawaligundui hilo
 

Kama alikuwa anaenjoy na hajui kama anaonwa ,sioni tatizo -no regrets lol
 
apana
jamaaa hakuw ampumbavu
mpumbavu ni uyo dada aliyekuwa anatoa siri za mwenzake ndan cz jamaa alishamwamin dada kutokana na maongez yao sasa dada ndo alikuwa mjinga kutotunza siri
angaejua km ofc nzima inamchungulia asingefanya ivo

wakati mwingine huwa,
najiuliza haka kabusara unakatoaga wapi?
Ntaendelea kukuletea uyoga, usihofu!!!!!!
 
yaano mi namtafuta kila nisipomwona huyu pauline,, sijisikii amani kabisa kumbe yuko fesibuku na sijui skype hata sijui ndo vitu gani.....:embarrassed::embarrassed::redfaces:

pauline hebu tutete kidogo....eeh😛ray2:😛ray2::coffee:

Am hereeeeeeeeeeeere baby!... :llama::hug::coffee:
 
jamani hii mimba changa inamsumbua kweli dear wangu,
Na ndio kwanza miezi miwili na nusu lol...
Na vitunguu tena lol....!!!!!!!!!!!!!!!!!

gud basi nileteee uyoga tuone km mimba itasumbua au itatoka kabsa
 

Asante kwa ushauri huu umekaa barabarani kabisa wala usikimbie .
 

uhakikishe ili iweje???:twitch::twitch:😛opcorn:
 
Kumridhisha ungetafuta picha fulani siunajua kuna uongo saidizi lakini sikudanganyi uwe muongo.
 
Inbox yako imejaa,mbona zinagoma kuingia PM.......do ze nidful mamito

habari yako bibie?
Jana niliona comment zako kwenye thread ile ya Not Enough,
Nahisi ule ukali ulokuwa nao kipindi hicho,ungeweza hata kumeza mtu!!!!
lol..
Nahisi leo utakuwa fresh!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…