Majambazi

Majambazi

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,367
Majambazi matatu yaliyovaa na kuficha nyuso zao walivamia bank. Wakaiba hela za kutosha, kabla hawajaondoka mmoja wa wale majambazi akamuona cashier mzuuri mwanadada. Akajisahau na kumpatia biznez kadi yake ili awasiliane nae baadae.
 
hahahahah!!!huyo jamaa kiwembe kweli kaleta mambo ya mapenzi kwenye kazi.balaa litakuja kama atasahau kuwa alimwachia demu b.card
 
Wapi wajameni? Maana yaelekea jamaa ni 99% ni kiwembe 1% ndiyo yupo kikazi. Km ni kweli hakika itamhusu tu!
 
Asalaleh, jamaa atakuwa alizidiwa hadi akashindwa kujizuia
 
Hiyo business card itakua imeandikwa:
Mr. Kipungu Sweswe. (Msc BR)
Assistant bank robber
P. O. Box 52
Mbutu.
 
majambazi matatu yaliyovaa na kuficha nyuso zao walivamia bank. Wakaiba hela za kutosha, kabla hawajaondoka mmoja wa wale majambazi akamuona cashier mzuuri mwanadada. Akajisahau na kumpatia biznez kadi yake ili awasiliane nae baadae.




we motto hujatulia, adrian hapa!
 
Lover boy! lover boy! analeta utata lover boy!
 
Hahahaaa! Inaonesha kuwa jamaa unamfahamu vyema. Haahaa haaa!
 
hahahahaha.....hii nayo kali...hilo jina achalia mbali title
Hiyo business card itakua imeandikwa:
Mr. Kipungu Sweswe. (Msc BR)
Assistant bank robber
P. O. Box 52
Mbutu.
 
business card? ya kijambazi,nyingizina information za uongo,so sio hatari sana
 
Back
Top Bottom