Majambazi yanatumaliza na polisi wapo

Majambazi yanatumaliza na polisi wapo

Mtoa maada umeniudhi sana, kwenye maelezo yako umesema majambazi hao mnawafaham majina mpaka walikotokea ingekuwa huku kwetu tungekuwa tumemaliza kazi siku nyingi, sanasana polisi ambacho wangefanya nikuja kukusanya maiti za hao majambazi.sisituliacha siku nyingi kutegemea polisi tunashugulikia mambo yetu sisiwenyewe tena kimyakimya.

Hii nchi sijui tu. Huyo mkurugenzi wa chama cha waasilika anajulikana sana kuwa ni mharifu imefikia hatua mpaka watu wanamueleza wazi kumuua si njia ya uhakika wa kumariza tatizo kwani polis walipaswa wamkamate na kumuhoji akikataa apelekwe hata KIGOTO MWANZA. ninahakika atawataja wenzake. imeshakuwa kawaida yake akisha lengesha anajifanya anasafiri ili tujue kuwa hausiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom