mavuno nyamanoro
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 587
- 156
Enyi POLIS wa wilaya ya BIHARAMULO, Mtumbie kuna siri gani kati yenu na majambazi yanayo tesa raia kila siku?, mkipigiwa simu hamuji, jana RUSIANI kavamiwa kawapigia simu hamukwenda wakati umbali uliopo kati ya kituo kikuu cha wilaya ni kama mita 700. Watu wanatolewa ndani na kupelekwa kwenye maduka yao kutoa pesa na ninyi mpo, kweli? Aaaa hii sasa imezidi. Tumesha waeleza majambazi hayo yametoka RUNZEWE na mshirika wao ni baba Ibura ambae ni mkurugenzi wa chama cha waathirika wa ukimwi Biharamilo (SHIDEFA) aliyekuwa askari Magereza akafukuzwa kwanini hammukamati na yupo tu anatesa?