Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,915
- 94,340
Nikikuelewesha mimi ndio hutoweza kabisa kunielewa, endelea kuwa member wa JF umri wako ukiongezeka hapa utaijuwa miandiko ya watu wengi na utakuja kubaini wakikwambia kata kushoto wewe usikate bali kata kulia na wote utawakuta huko, yaliyomo yamooo.Mkuu tafadhali nisaidie umeelewa nini hapo ?
Teh teh naona unakataa kiutu uzima kusema hata wewe hujui ,ila hamna tabu nimekuelewa MkuuNikikuelewesha mimi ndio hutoweza kabisa kunielewa, endelea kuwa member wa JF umri wako ukiongezeka hapa utaijuwa miandiko ya watu wengi na utakuja kubaini wakikwambia kata kushoto wewe usikate bali kata kulia na wote utawakuta huko, yaliyomo yamooo.
Tatizo hujui kama hujui, ingia jukwaa la intelligence unaweza kuanza kufunguka akili yako na huko utamjuwa vizuri Andrew.Teh teh naona unakataa kiutu uzima kusema hata wewe hujui ,ila hamna tabu nimekuelewa Mkuu
Mimi sina tatizo na Andrew ,nimekuomba wewe uliyesema umemuelewa unisadie ,na kama umefuatilia nilichosema hapo juu ya Andrew usingesema maneno hayaTatizo hujui kama hujui, ingia jukwaa la intelligence unaweza kuanza kufunguka akili yako na huko utamjuwa vizuri Andrew.
Sikiliza:kwa maana kwamba alishangaa wale wasichana kuwepo pale, mahala ambapo hawastahili kuwapo akagundua kuna ishu wanafukuzia,
au nimekosea
Huyu Andrew huwa namuona kama Genius Fulani maana huwa haongei kijingajingaNi first born wa JK Nyerere, Ex soldier wa JWTZ akiwa ni Jet fighter pilot.
Nadhani ili usiulize tena huyu ni kaka yao na Makongoro Nyerere na Madaraka Nyerere.
Dah long time Bro Andrew,asante kwa habari mpasuko hii imeeleweka.Walitaka kuwaibia Wachina. Yupo jambazi mwanamke.
Aisee kuna watu kwa hakika kwa kupitia maandishi yao,hata kama siwafahamu mtu akiwaita kilaza/vilaza siwezi kupinga......ila kumwita Bro Andrew kilaza nitakubaliana na wewe ukiweka mlinganisho sahihi,ni kilaza ukimlinganisha na nani kwa mfano?......sikujui,unijui lakini naweza kucheza kamari kati ya wewe na Andrew wewe ni kilaza kwake kwa asilimia 100.ongea lugha moja basi we kilaza
Majambazi watatu. I hope mod atarekebisha title. Simu haina chaji. I had to hurry.
hat off Saint IvugaSikiliza:
Mimi nitajaribu kidogo kufafanua hii post tata ya Andrew Nyerere.
Kuna watoto wadogo wamemuita kuwa ni kilaza. (Can you imagine?)
Hao watoto tukawa tunawashambulia nadhani hawajui kuwa wako wapi wala hawajali kuwa wanaongea na nani(kina nani)
Andrew Nyerere hajawajibu kitu ila kaja tu na hii post hapo.
Cha kufanya ni hao watoto wajitathmini kuwa wapo sehemu sahihi kweli kwa wakati huuu?
...... My thought......
Kabla ya kumuita kilaza Andrew ni verified user unaweza soma biography yake na kumfahamu vizuri. Sisi wa longi akiongea tuna pause kutafakari ili tuelewe kaka kamaanisha nini. Anayemwita kilaza ni vilaza waliotukuka. You will never step on his foot looser.Aisee kuna watu kwa hakika kwa kupitia maandishi yao,hata kama siwafahamu mtu akiwaita kilaza/vilaza siwezi kupinga......ila kumwita Bro Andrew kilaza nitakubaliana na wewe ukiweka mlinganisho sahihi,ni kilaza ukimlinganisha na nani kwa mfano?......sikujui,unijui lakini naweza kucheza kamari kati ya wewe na Andrew wewe ni kilaza kwake kwa asilimia 100.
jamaa akituma post yake unaweza ukatoka kapa.Kabla ya kumuita kilaza Andrew ni verified user unaweza soma biography yake na kumfahamu vizuri. Sisi wa longi akiongea tuna pause kutafakari ili tuelewe kaka kamaanisha nini. Anayemwita kilaza ni vilaza waliotukuka. You will never step on his foot looser.