Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,793
Hii sekta inawanufaisha watu wachache sana
una uhakika...?
Hii sekta inawanufaisha watu wachache sana
Hao waliosimamishwa ndo uenda wakawa wanafanya ujambazi huu ili kuonyesha uma kuwa bila wao akuna usalama.Wamevamia mpaka na nyumba za askari wenzao hapo Ikoma,hii inaonyesha kuwa wausika wa ujambazi huu wanajua maeneo na watu pamoja na ulinzi uliopo, ila watakamatwa tu kwani at this time they are surrounded. And no where to run. Watajificha wapi? Shirati?na kama hao majambazi walikuwa na simu wakati wa tukio ni rahisi sana tena sana kuwakamata yaani Polisi wanaweza kutumia siku 3 au 4 kuwakamata.Toka wamewasimanisha kazi askari wa hifadhi ya serengeti kupisha uchunguzi wa nani iliua faru matukio ya kuvamiwa watalii ndani ya hifadhi hiyo yameshamiri kwa kasi.huwezi kuwasimamisha kazi askari 28 bila kiziba nafasi zao then kusitokee ujambazi
Mheshimiwa Balozi Kagasheki hakujua athari za kumsimamisha Mhifadhi wa Serengeti na askari 28. Hata hivyo, askari wasingeweza kuwazuia majambazi kwa kuwa walishindwa kuwazuia majangili waliowaua wale faru.
Walipaswa kusimamishwa kiutendaji hapo hakukosea,pengine kosa lilikuwa kuto replace wengine kazi ziendeleee kama kawaida. This Issue will affect our Tourism Industry so badly, God forbid
hayo yatakuwa yana roho nzurimwaka huu pia walivamia camp ya Thomson iliyopo eneo hilo hilo....ila hawakuuwa....
Toka wamewasimanisha kazi askari wa hifadhi ya serengeti kupisha uchunguzi wa nani iliua faru matukio ya kuvamiwa watalii ndani ya hifadhi hiyo yameshamiri kwa kasi.huwezi kuwasimamisha kazi askari 28 bila kiziba nafasi zao then kusitokee ujambazi
Wameua Mzungu na Meneja au wameua watu wawili?
huu unaitwa UJINGA!sawa tu,sio kutuua sie tunaoangaika tu km wao!sorry i cant help it
kwani hao maaskari si huwa wanatambulika kwa jina la askari wanyamapori...kuna uhusiano gani na ulinzi wa binadamu?
huu unaitwa UJINGA!