Majambazi watano wauwawa Arusha

Majambazi watano wauwawa Arusha

D 007

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
206
Reaction score
147
Jeshi la polisi kwa ushirikiano mzuri jana jion majira ya sa 12 yalifanikiwa kuua majambazi watano akiwemo mwanamke mmoja waliokuwa wakitafutwa kwa muda ,kwemye bar maarufu ya Pama hapa Arusha.

Habari kamili itafuata punde.
 
Jeshi la polisi kwa ushirikiano mzuri jana jion majira ya sa 12 yalifanikiwa kuua majambazi watano akiwemo mwanamke mmoja waliokuwa wakitafutwa kwa muda ,kwemye bar maarufu ya pama hapa arusha....habari kamili yafuata

Kama alikuwepo na Jumanne Mjusi itakuwa habari mbaya kwa ccm.
 
Jeshi la polisi kwa ushirikiano mzuri jana jion majira ya sa 12 yalifanikiwa kuua majambazi watano akiwemo mwanamke mmoja waliokuwa wakitafutwa kwa muda ,kwemye bar maarufu ya pama hapa arusha....habari kamili yafuata

usisahau kapicha
 
Makamanda Wa CHADEMA Wauawa Wakidhaniwa Majambazi ...!
 
Ngongo mzee wa A town hebu hakiki hii mambo na kama utatia neno kama hao ni manyoka tu au kuna "vichwa" pia!!
 
Last edited by a moderator:
Nani? Lema au...?

Huyu ni kamanda haswa ameshawai ku escape matukio kama matatu hivi ikiwemo lile la kuibia lle duka la kubadilisha fedha la intenational . Ilipelekea hadi binamu yake mtoto wa kileo kuuwawa. Ni zaidi ya hatari
 
Mkuu wangu OLESAIDIMU hii habari ndio habari ya mjini leo Arusha ukichanganya na fagia fagia ya City vunja vunja ya mabanda kwa amri ya mkuu wa wilaya ya Arusha.Ukweli ni kwamba leo mji wa Arusha ni msafi kuliko maelezo wale akina mama waliokuwa wakiuza mchicha,nyanya,vitungu na bidhaa kadhaa kando kando ya barabara wamefurushwa na askari wa jiji.Habari za kuwawa majambazi wa tano ni kweli ila kila mmoja anatoa hadithi yake.

Ngongo mzee wa A town hebu hakiki hii mambo na kama utatia neno kama hao ni manyoka tu au kuna "vichwa" pia!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu OLESAIDIMU hii habari ndio habari ya mjini leo Arusha ukichanganya na fagia fagia ya City vunja vunja ya mabanda kwa amri ya mkuu wa wilaya ya Arusha.Ukweli ni kwamba leo mji wa Arusha ni msafi kuliko maelezo wale akina mama waliokuwa wakiuza mchicha,nyanya,vitungu na bidhaa kadhaa kando kando ya barabara wamefurushwa na askari wa jiji.Habari za kuwawa majambazi wa tano ni kweli ila kila mmoja anatoa hadithi yake.

Nashukuru kaka Ngongo kwa response yako natumai utatupasha tulio mbali utapokuwa na uhakika wa hiyo habari ya hao watu wa "mipingo"
 
Last edited by a moderator:
wanayoyafanya majambazi hua yanatisha sana,kuwapunguza ni jambo zuri kabisa!hongera askari polisi
 
Back
Top Bottom