Majambazi watano wauawa jijini Dar; Tabata

Duh, Kumekucha.............wazee wa kazi weshaanza tena....
Uko wapi ulinzi shirikishi....................?

Mkuu najua umetumia value na ile kitu inayotikisa ubongo kama ya kanumba. na baada ya kukwepa fumaniz la cat na mamaye ukakimbilia nyumbani. naamini una vyanzo vizuri vya habari hapo tabta. tupe habar kamili
 
Back
Top Bottom