Majambazi wamevamia mlimani city

Majambazi wamevamia mlimani city

Tuache utani. Ujambazi ni janga la kitaifa kama kkuna ukweli semeni tumwambie mzee Kova awashughulikie hao wahuni. Ni jukumu la kila mmoja wetu kuwashughulikia majambazi. Kama yalishakukuta utanielewa. Kuwaita wahalifu wazee wa kazi ni uhuni usiokubalika
 
ni kweli au tetesi? na je hizo tetes umeziskia wap? una uhakika? wamechukua kiasi gani? mchezo ulikuaje wakati wanavamia? wamevamia saa ngapi?

makamanda wapo humu jf
 
Nimeskia wazee wa kazi wameingia hapo kuchukua hela zao
kwanza mtoa maada sijui unamaana gani unapoleta topic imeka kiushaidi.ilibidi kama ni habari mbaya uilete accordingly .sasa wewe unaleta habari au tetesi kiushabiki.
ndio maanaa wanaendele na kazi zao sababu mnawaona kama wanafanya kazi kishujaa.HII HATARI
,'',Nimeskia wazee wa kazi wameingia hapo kuchukua hela zao?????:angry:
 
Watu kama hawa huenda ni mawakala wa majambazi
 
Nimeskia wazee wa kazi wameingia hapo kuchukua hela zao
'

kama wewe sio mzee wa kazi

basi utakuwa mchora ramani ...nahisi tu mkuu na kama si wewee basi uzao wako utabarikiwa na hizo proff hapo juu

baba una akili sana za kupiga kazi
 
Back
Top Bottom