WATU wanaodhaniwa kuwa ni majambazi,
wamevamia gari lililokuwa linasafirisha maiti
kutoka mjini Morogoro kwenda mkoani Mara kisha
kupora takriban Sh19.8 milioni walizokuwa nazo
waombolezaji. Katika tukio hilo la kusikitisha lililotokea juzi
mkoani Singida, majambazi hao walivunja vioo
vyote vya gari pamoja na jeneza lililokuwa na mwili
wa Munchari Lyoba aliyekuwa mwanafunzi wa
mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Sokoine
(SUA) cha Morogoro na kumpekua marehemu.
Source: mwananchi
Naona watu wako busy katika ugunduzi wa dhambi mpya.
Wanyama tu ndio wanaweza kufanya tukio kama hili, but ikifikia hatua binadamu nao wanafanya unyama kama huu this means watanzania wana under go evolution na kuwa wanyama.
MziziMkavu kuna dawa ya kuzuiz hii kitu kweli?
Wanyama wanaweza kufungua jeneza na kulisachi yakitafuta hela?
Angalia hapo kwenye rangi!
Wanyama wanaweza kufungua jeneza na kulisachi yakitafuta hela?
Angalia hapo kwenye rangi!
huyu marehemu si ndo nilisoma humu JF kuwa alikufa ghafla akitokea discussion?sasa hizo hela zote walitembea nazo cash za nini?mungu awanusuru na majanga wafiwa!
D: definetly nakubaliana na wewe kwa sababu dhambi zote wameshazifanya hadi watu wanatembea na mama wakwe zao tena bila soni wanakuja hapa kujisifia.
Can you imagine what kind of next generation we are producing ?
Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya umaskini na imani za dhambi na Mungu. Mtafiti.
Wanyama wanaweza kufungua jeneza na kulisachi yakitafuta hela?
Angalia hapo kwenye rangi!