Majaliwa: Watanzania iombeeni serikali. Asema kazi ya kutumbua majipu ina mtihani mkubwa

Kwani wamefanya nini zaidi ya kuwafukuza watu kazi. Uombewe kwa kumfukuza mkurugenzi wa NIDA kazi? Mkitaka muombewe rudishisheni hela ya escrow. Waiziri mkuu kanikumbusha mzee Pinda sijui kapotelea wapi.
Pindamgongo anapack asali yake kwy vichupa kisha anapeleka sokoni Germany.
 
Nakushaur Majaliwa acha kabsa kumshrikisha Mungu wa Haki kwenye Mambo yenu, Amin usiamiani Mungu hugeuza Maombi kuwa Laana, Na kama Mungu wetu wa Haki aishivyo na aonae ya sirin mwenu Juu ya dhuruma mnayo wafanyia watanzania, siamian kama nyiny ni chaguo lake, na hata tukiomba majibu mema ya Mungu wa Haki hatayapata!! Mmedhurumu Tz alaf tena na Zanzbr daaa hakika shetan ananguvu kwa maccm
 
Back
Top Bottom