Dah likud naenda kulala na maumivu ya mbavu. Am in stiches maamae.Bongo ukifa KWA stress umetaka mwenyewe
vialama hivi vina maana gani please. naviona sijui maana yake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
hahahahahaBongo ukifa KWA stress umetaka mwenyewe
hahahahahahhaHizo nguvu anazotumia kunywa maji, bora angeenda kushika jembe na kuingia shambani.