Majaliwa aondolewe Jeshi la Zimamoto na arudishe zawadi zote alizopewa

Ifahamike kwamba hatuna shida yoyote na huyu Kijana , maana sasa ni dhahiri kwamba ALITUMIKA ILI KUWEZESHA MIPANGO YA WATU WENGINE .

Lakini baada ya Jamii kustukia mchezo duni uliochezwa bado mnataka tunyamaze ? na ni kwanini tunyamaze ?

Ikiwa kama Waziri husika anasema baada ya uchunguzi kwamba dogo huyo hakufungua mlango wala nini , mnadhani sisi raia tuliokuwa nchi kavu tunawezaje kubisha ? Je waliotudanganya akiwemo Majaliwa na Chalamila walitaka kuficha jambo gani na kwanini ?

Sasa nasema Kama Mmbwai na iwe Mmbwai tu , huyu dogo arudishwe kuanika dagaa na arejeshe hela za watu waliomchangia kama Shukrani kwa ambayo HAKUYAFANYA , walooshirikiana naye kutudanganya watimuliwe haraka sana .

Hatuwezi kuishi kwa uongo miaka yote .
Acha wivu wewe uchwara.
 
Nchi hii ina wajinga wengi sana.
Mazuzu ni wengi ndio maana wanatupimia umeme sababu wanajua hatujui kinachoendelea uko ndani (wajinga), wanafanya wanavyotaka wao kila siku wanatubadirishia spana mpya, ukarabati hauishi kila uchao visingizio haviishi
 
Je!
Nongwa yako ni jina la Majaliwa au kingine zaidi?

Je!
Akirudishwa kuanika dagaa,Marehemu nao watarudishiwa Uhai wao?

Je!
Huyo waziri unaemuamini wewe!
Yeye alikuwepo ndani ya ndege?

Je!
Ni Uongo kwamba Majaliwa hakupiga Kasia na kuwa mtu wa awali kuifikia ile ndege?

Je!
Ni Uongo kwamba Majaliwa hakuzimia na kudondokea Majini,kwa kupigwa na Kamba iliyokatika wakati wa jitihada zaidi za kufungua mlango mwingine wa Ndege?

Je!
Hao wanaojitokeza leo na kudai walisaidiana wao kuufungua mlango wa ndege!
Walikuwa wapi kuyasema hayo,mpaka pale walipoona Majaliwa alipojaaliwa Mapesa?

Je!
Wewe Erythrocyte ulikuwepo eneo la ajali au Umbeya wako wa Ki-Chadema ndio unaokuwasha?

Fanyeni Mambo ya msingi kuendeleza Chama chenu!

Acheni kudhani Chama kinaishi kwa Visasi na Majungu misibani!

Chadema mnakwama wapiiiii???

Majaliwa kishapata kazi.
Halafu wewe mpuuzi fulani unamuombea akose au anyang'anywe hiyo ajira ili upate nini?

Mnaheshimiwa ila hamuheshimiki,wala kuheshimu na kuwastahi wenzenu!

Eti mbwai iwe Mbwai.....

Kwa lipi sasa?
Au una Konyagi kichwani?

Huu ni Unyumbulistic

View attachment 2426727
Exactly my thoughts
Screenshot_20221125-001746.jpg
 
Kufungua mlango sio issue bana wee kwani waliokuwemo kwenye ndege wote walijua kuogelea.... Wale wavuvi waliosaidia kuokoa watu uliwaita wewe? Huwezi kujua kama mwamba ndo aliita wenzake maana kwa maelezo ndo yanasema hivyo.
 
Ifahamike kwamba hatuna shida yoyote na huyu kijana, maana sasa ni dhahiri kwamba alitumika ili kuwezesha mopango ya watu wengine.

Lakini baada ya jamii kustukia mchezo duni uliochezwa, bado mnataka tunyamaze? Na ni kwanini tunyamaze? Ikiwa kama Waziri husika anasema baada ya uchunguzi kwamba dogo huyo hakufungua mlango wala nini, mnadhani sisi raia tuliyokuwa nchi kavu tunawezaje kubisha? Je, waliotudanganya akiwemo Majaliwa na Chalamila walitaka kuficha jambo gani na kwanini?

Sasa nasema kama mmbwai na iwe mmbwai tu, huyu dogo arudishwe kuanika dagaa na arejeshe hela za watu waliomchangia kama shukrani kwa ambayo hakuyafanya, walooshirikiana naye kutudanganya watimuliwe haraka sana.

Hatuwezi kuishi kwa uongo miaka yote!
tumuache ile tuseme ni bahati imenuangukia
 
tuache roho mbaga mbaya tumuache dogo
 
Michadema ni mnadandia kila jambo,hamna hoja yaan
wewe huna akili
umeona wapi chadema tunasema hili, binafsi naona dogo bahati imemuangukia aachwe tu
Hivi mwana ccm akiliwa tigo ina maana ccm wote ni mabwabwa?
images%20(26).jpg
 
Ifahamike kwamba hatuna shida yoyote na huyu kijana, maana sasa ni dhahiri kwamba alitumika ili kuwezesha mopango ya watu wengine.

Lakini baada ya jamii kustukia mchezo duni uliochezwa, bado mnataka tunyamaze? Na ni kwanini tunyamaze? Ikiwa kama Waziri husika anasema baada ya uchunguzi kwamba dogo huyo hakufungua mlango wala nini, mnadhani sisi raia tuliyokuwa nchi kavu tunawezaje kubisha? Je, waliotudanganya akiwemo Majaliwa na Chalamila walitaka kuficha jambo gani na kwanini?

Sasa nasema kama mmbwai na iwe mmbwai tu, huyu dogo arudishwe kuanika dagaa na arejeshe hela za watu waliomchangia kama shukrani kwa ambayo hakuyafanya, walooshirikiana naye kutudanganya watimuliwe haraka sana.

Hatuwezi kuishi kwa uongo miaka yote!
wewe mjinga sana na una roho mbaya sana utakufa na umasikini wako na utalaaniwa maisha yako yote wewe na chadema yako hamtokuja kuwa hata na mbunge mmoja hata na diwani mmoja na hata mwenyekiti WA mtaa kwani wewwe inakuuma nn unaumia nn msengerema wewe
 
Back
Top Bottom