Majaliwa aondolewe Jeshi la Zimamoto na arudishe zawadi zote alizopewa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
100,206
174,469
Ifahamike kwamba hatuna shida yoyote na huyu kijana, maana sasa ni dhahiri kwamba alitumika ili kuwezesha mipango ya watu wengine.

Lakini baada ya jamii kustukia mchezo duni uliochezwa, bado mnataka tunyamaze? Na ni kwanini tunyamaze? Ikiwa kama Waziri husika anasema baada ya uchunguzi kwamba dogo huyo hakufungua mlango wala nini, mnadhani sisi raia tuliyokuwa nchi kavu tunawezaje kubisha? Je, waliotudanganya akiwemo Majaliwa na Chalamila walitaka kuficha jambo gani na kwanini?

Sasa nasema kama mmbwai na iwe mmbwai tu, huyu dogo arudishwe kuanika dagaa na arejeshe hela za watu waliomchangia kama shukrani kwa ambayo hakuyafanya, walooshirikiana naye kutudanganya watimuliwe haraka sana.

Hatuwezi kuishi kwa uongo miaka yote!
 

Ubemuoje

JF-Expert Member
Sep 9, 2022
951
1,169
Sasa nasema Kama Mmbwai na iwe Mmbwai tu , huyu dogo arudishwe kuanika dagaa na arejeshe hela za watu waliomchangia kama Shukrani kwa ambayo HAKUYAFANYA , walooshirikiana naye kutudanganya watimuliwe haraka sana .

Hatuwezi kuishi kwa uongo miaka yote .
 

Ubemuoje

JF-Expert Member
Sep 9, 2022
951
1,169
Naona imekuwa ajenda kubwa kabisa mnaacha pambana na issue muhimu kama maji, umeme, afya na hali ya mbaya za maisha
Dogo Majaliwa sio shujaa ni alitengenezewa script tu akapita nayo ila mazuzu wakamuamini sasa kimebuma Waziri Mbarawa anasema Majaliwa sio shujaa aliefungua mlango waliofungua mlango na mashujaa wa kweli na halisi ni wahudumu wa ndege shtuka, acha kujifanya km huoni 😂
 

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
100,206
174,469
Dogo Majaliwa sio shujaa ni alitengenezewa script tu akapita nayo ila mazuzu wakamuamini sasa kimebuma Waziri Mbarawa anasema Majaliwa sio shujaa aliefungua mlango waliofungua mlango na mashujaa wa kweli na halisi ni wahudumu wa ndege shtuka, acha kujifanya km huoni
Uongo wao ungefana ikiwa kama abiria wote wangekufa
 
31 Reactions
Reply
Top Bottom