Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,800
- 8,778
Nchi ya kistaarabu Chalamila na Kasimu Majaliwa wanatakiwa kuondoka madarakani. Maajabu Chalamila leo anaandaa maandamano ya wakulima kumpongeza Bi tozo. Nchi hii ina wajinga wengi sana.Na hivyo ndivyo alivyoandikiwa kwenye Script