Majaliwa: Ajira mpya za Walimu ni Julai 2016

Majaliwa: Ajira mpya za Walimu ni Julai 2016

Status
Not open for further replies.
Wakuu vumilieni tuu pigeni pigeni vitempo, mkishaajiriwa mkaanza kupata kasalary nawahakikishieni mtasahau machungu yote ya kusubiri
 
Hawa walimu hawajazoea kuhustle

Sku serikali ikiajiri walimu kama mfumo wa ajira zngne wahitimu weng watakufa maskini
 
Amesema walimu wa sayansi wanamaliza kuanzia july hasa wale waliopelekwa kwa kukusanywa diploma maalumu kwaiyo sio walimu wote acheni kupotosha, nadhan piteni youtube muangalie upya
 
Amesema walimu wa sayansi wanamaliza kuanzia july hasa wale waliopelekwa kwa kukusanywa diploma maalumu kwaiyo sio walimu wote acheni kupotosha, nadhan piteni youtube muangalie upya

Kwahiyo. Wengine ajila lini? Kidogo umenipa tumaini.
 
Wakalijenge sasa kwa huo muda ili waweze kuyakabili maisha ya vituo watakavyopangiwa ambavyo vingi ni vijijini

umenikumbusha mbali kweli mkuu yani kuna kanyimbo frani hivi kanaimbwa singe nyama italala singe aaaiyeee mama singe nilikuwa sikapendi afande yoyote ambae alikuwa akianzisha huu wimbo nilikuwa namchukia balaa ngoja nao wakaonje joto la jkt.
Vijana maua popote huchanua,twendeniii tukalijenge taifa
Mama walile walileee mama walile walile mama walileee mama walile
 
Dah! Hata mtaji Wa kujiajiri sina!! Hii miezi sita yote mtaani ntaishije??? Nilijipa matumaini mwezi march naingia job! Naombeni ushauri wandugu nifanye nini kwa huu muda!! Maana hata temporary job tu hazipatikani japo mi mwalimu Wa physics and mathematics!
 
Ushauri utakaopewa na mimi utanisaidia. Ngoja tusubili.
 
Amesema walimu wa sayansi wanamaliza kuanzia july hasa wale waliopelekwa kwa kukusanywa diploma maalumu kwaiyo sio walimu wote acheni kupotosha, nadhan piteni youtube muangalie upya
katika watu wenye muandiko mzuri, wewe ni namba moja.
Ulichokiandika kimenilaza unono
 
Vijana msipanic anaposema July mwaka huu anaimanisha kuwa ifikapo July mwaka huu idadi kubwa ya walimu wa science watakuwa wamegraduate kwani ile intake ya vijana wa diploma science itakuwa ina maliza masomo yao vyuoni
 
Hahahhaha tunawasubiri waalimu mukuje huku ajira itakuwaje july wakati shule huku inawaalimu wanne hiyo elimu bure itawezekanaje
 
Amezungumzia walim wa sayanc tu understand?Coz there is no statement shows we are going to spend 1 year and 2 months waiting for a job.This shit will never happen,don worry teachers stay calm.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom