Majaji wastaafu big up! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majaji wastaafu big up!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by MAMESHO, Nov 15, 2011.

 1. MAMESHO

  MAMESHO Senior Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Inatiamoyo Majaji wastaafu kutoa tamko lao kuhusu Muswada wa katiba na kutaja upungufu unoonekana wazi wazi. Jambo hili ni lakuunga mkono pamoja na wengine wengi walioko mstari wa mbele kuhakikisha kwamba tunapata katiba mpya ITAKAYOFAA kwa watanzania
   
 2. m

  mkanyila Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wametoa tamko gani maana huku kwetu umeme shida toka chombo kiungue juzi hatujarudishiwa
   
Loading...