MAJADILIANO YA MAKINIKIA: Barrick yakubali kulipa Dola Milioni 300 na kugawana faida 50/50 na Serikali ya Tanzania

50% ya mgao wa faida? Mchanga machoni mwaaa

Siku zote 99.9% ya migodi hapa nchini hutangaza hasara sasa huo mgao utatoka wapi....

Goli la mkono hiloooo
Ndio maana serikali itakuwa na uwakilishi kwenye management. Tatizo zamani watanzania walishirikiana na wageni ku-under declare. Kama wanapata hasara wasingeweza kuendelea kufanya kazi kwa miaka yote hadi sasa.
 
Nipende kufungua mjadala kwa wasomi wetu na watanzania kwa jumla katika hoja ya 50/50 iliyoelezwa katika taarifa juu ya mjadala kati ya Barick na Tanzania, niombe tufungue bongo zetu katika maswali haya:
- Nini maana ya partnership?
-Mwakilishi wa Barick anaeleza kuwa wamekubaliana na serikali kwamba "kwa siku za mbeleni wataunda umoja wa kibiashara (partnership), je ubia huu utaanza lini na nini masharti ya ubia huo?
- Mambo haya yatawasilishwa kwa bodi ya wakurugenzi, je, yasiporidhiwa itakuwaje?
- je masharti ya 50/50 tutayamudu kwa siku za usoni kwa kuzingatia uchanga wa wasomi wetu na utashi MDOGO wa kutekeleza mambo hasa yanayohusu pesa?
-Deni letu tunalowadai Barick limeshia wapi?
 
Ha haa! Aibuu! Kubali tu umeshindwa. Barrick wamekubali sheria mpya za madini, wamekubali kujenga smelter, wamekubali kusaidia jamii zilizowazunguka zaidi, wamekubali kuweka faida zao kwenye mabenki yetu, wamekubali kuwepo Tz members wa bodi za migodi yao etc, this is from their spokesman kama umesikiliza. Those are Tz terms ewe nyumbu.

Long story short, shame on you guys.
Namshukuru sana Mungu kumuepusha Lisu na kifo ili ashuhudie huu ushindi wa commander in Chief John Pombe Magufuli.
Kila goti litapigwa, haters hamisheni magoli mpendavyo, the good guy deep inside of you knows what has happened today is bigger. But y'all ego's too big to accept defeat.
 
Iyo pesa ukichukua ile ya kina rugemangila ukizidisha mara 2si unapata si inazidi iyoo
 
Mkuu acha siasa kila muda chadema inaingiaje hapa wakati waliotufikisha hapa kina chenge ni maccm ila hawakamatwi so tuache vyama hapa

Wapi wamesema deni limekuwa swapped na hisa wakati magu kasema 16% ni takwa la kisheria???

Niambie wapi wamekubali kuwa wameiba hizo trillion 500 na wameahidi kurudisha zaidi hilo lizungu limesema WANALIPA to earn mutual trust! Sasa mlituminisha tutapata Noah kisa hayo matrilion iweje mnakubali kupokea bilion 500?? Yaani 1% ya deni sasa nauliza tu OOOH CHADEMA cjui LISU

Funny!!
 
Sasa kupata gawiwo la faida ya hamsini kwa hamsini siyo kumiliki? Hivi unaijua elimu unayoizungumza ama elimu inakujua??
ELIMU HATARI

UMILILIK BARRICK WANA SHARE 64% NDIO WAMILIKI, SERIKALI 16 WADAU WENGINE 2O, HATA WEWE UKIWA NA PESA UNAWEZA NUNUA HISA,

KATIKA FAIDA NDIO HAPO SERIKALI 50% NA BARRICK 50%


USIBISHE KITU USICHO KIJUA UNAAIBIKA VIBAYA
 
Tuliambiwa tunawadai mapesa mengi ....leo tunapewa bl 700...hii ndo tanzania
 
Hizo bilioni zilikuwa ni za kodi.. wala sio fidia..

Ila hata nikikwambia haitosaidia kubadilisha akili yako.. so amini utakavyo.

Hongera Magufuli.
 
Reactions: Oii
0.158% ndio wametupa mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…