Maiti Yaongea

Maiti Yaongea

Leo2juu

New Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
3
Reaction score
1
Maiti moja ilikuwa inaoshwa. Mara gafla ikacheka sanaaa. Mwoshaji akaiuliza Mbona unacheka sana unacheka nini? Maiti ikajibu unanitekenya bwana.
 
DUUU! hiyo kali ingawa si kweli na haiingii kichwani kwa vile haina mashiko wala vielelezo vya kushawishi hata kwa uchache.
 
Maiti moja ilikuwa inaoshwa. Mara gafla ikacheka sanaaa. Mwoshaji akaiuliza Mbona unacheka sana unacheka nini? Maiti ikajibu unanitekenya bwana.

Join Date : 1st November 2010
Posts : 1
Thanks 0
Rep Power : 0

Huyu nae ni Great Thinker!!
 
hahaha hii kali,mie ningekuwa muoshaji ningetoka nduki
 
Join Date : 1st November 2010Posts : 1Thanks 0Rep Power : 0Huyu nae ni Great Thinker!!
Kilakitu kina mwanzo mkuu, bila shaka wewe uliJoin Date : 1st January 1961Posts : 999999999999Thanks 999999999999Rep Power : 999999999999
 
DUUU! hiyo kali ingawa si kweli na haiingii kichwani kwa vile haina mashiko wala vielelezo vya kushawishi hata kwa uchache.

kinachotakiwa ni kucheka...ina mashiko hain ami sijali.... mbona mimi nimecheka.... ngoja nicheke ........tena teh tehet teh teh te......
 
Hujamalizia, baada ya kucheka akendelea kuwa maiti au?
 
Hili ni jukwaa la utani kama mnataka mambo magumu hapa hapawafai.
 
Back
Top Bottom