Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,368
Wajinga kweli waliwao. Tunamsubiri Mama Rwakatare naye aje awadanganye waumini wake kuwa kaoteshwa ndoto ya kufufua watu ila mpaka ulipe milioni 300 mpendwa wako afufuliwe na there's no refund. Yaani waumini wengine hawa, mi nafikiri kweli wanakuwa wamerogwa na hawa wachungaji. Ze Comedy at its best.
cc: King Majuto, Mze Small, Rais Kikwete, Mkuu wa Polisi, Massanja Mkandamizaji, Mpoki, Joti na wengineo
cc: King Majuto, Mze Small, Rais Kikwete, Mkuu wa Polisi, Massanja Mkandamizaji, Mpoki, Joti na wengineo