Maiti yaombewa ifufuke, yagoma

Maiti yaombewa ifufuke, yagoma

Tatizo hapa sio nguvu ya YESU IMESHIDWA KUFANYA KAZI isipokuwa watu kutofuata kanuni za upoNyaji /maombezi Mtu ambaye nafsi imechukuliwa akicheleweshwa kuirudisha kutoka shim¨®ni .unampoteza .Kwa hiyo kilichokosekana pale ni kutofahamu chanzo cha tatizo mapema ,na kuirejesha nafsi kabla hajakata pumzi
Hili ndilo kosa linalotokea kwa baadhi watu wengine kama kanumba ,chimfupa
japo wao walikuwa na mambo yao na miungu yao !-!!
 
Kama wanaamini hajafa basi wampeleke nyumbani wakaishi nae. Katika kitabu chetu kwa hapa duniani ni mtu mmoja tu ambaye hakuonja ladha ya mauti. Nae ni Nabii Eliya huyo Yesu mwenyewe wahuni walim f.f.u vyakutosha tu na akafa kisha akafufuka na kusepa zake.
 
Tatizo hapa sio nguvu ya YESU IMESHIDWA KUFANYA KAZI isipokuwa watu kutofuata kanuni za upoNyaji /maombezi Mtu ambaye nafsi imechukuliwa akicheleweshwa kuirudisha kutoka shim¨®ni .unampoteza .Kwa hiyo kilichokosekana pale ni kutofahamu chanzo cha tatizo mapema ,na kuirejesha nafsi kabla hajakata pumzi
Hili ndilo kosa linalotokea kwa baadhi watu wengine kama kanumba ,chimfupa
japo wao walikuwa na mambo yao na miungu yao !-!!

Na wewe ni mchungaji? ulishafufua wangapi?
 
Mzizi mkavu was behind this ...!???..a day surprise , lakini mbona matukio ya Kweli hayaripotiwi..!
 
Yaani watanzania bado tuko nyuma kwanini wakatae kwamba sio kansa inaweza kuwa alikuwa nayo muda mrefu huwa hatuna tabia za kupima kila mara binadamu wanataka kumpinga hata mungu alilolipitisha

Yaani watu wengine bana, wamesoma na elimu za maana wanazo, inakuwaje mpaka wanatapeliwa na watu kama kina Gwajima? We uliona wapi maiti akafufuka kwa kuombewa!
 
Kama Yesu alimfufua Lazaro na kuhaidi wale wataoamini watafanya zaidi ya yale....kwanini kama wewe Mkristo usiamini inawezekana?.....Watu kufa kimazingara ipo....kama unadhani ndugu yako kafa ktk mazingira tata unapoteza nini kumfanyia maombi ili kama ni msukule arudi?

Sioni tatizo mtu kufanya hayo maombi kama anatia shaka....ni mambo ya imani tu......kama binafsi (Mkatoliki) nawaombea marehemu na kuwafanyia ibada rasmi kuna tatizo gani watu kuombea mtu anayeaminika kufa ktk mazingira tata? Kazi ya kuamua kurudi ama kutokurudi ipo mikononi mwa Mungu sisi kazi yetu ni kuomba tu....Changamoto ktk Kanisa la sasa ni unabii wa kweli ktk roho maana hata YESU alisema Lazaro amelala tu hivyo hakubahatisha au kujaribu tu kuomba.....Unabii unafanya muombe kwa jinsi Mungu alivyowafunulia juu ya jambo hilo...
 
kwa kawaida mtu unapofiwa na mtu wa karibu huwa ni vigumu kuamini kuwa ni kweli ndugu yako amefariki,lakini pamoja na ukweli huo mchungu,yatupasa tukubaliane nao tu!
 
Tatizo hapa
sio nguvu ya YESU IMESHIDWA KUFANYA KAZI isipokuwa watu kutofuata
kanuni za upoNyaji /maombezi Mtu ambaye nafsi imechukuliwa
akicheleweshwa kuirudisha kutoka shim¨®ni .unampoteza .Kwa hiyo
kilichokosekana pale ni kutofahamu chanzo cha tatizo mapema ,na
kuirejesha nafsi kabla hajakata pumzi
Hili ndilo kosa linalotokea kwa baadhi watu wengine kama kanumba
,chimfupa
japo wao walikuwa na mambo yao na miungu yao !-!!

wacha kudanganya watu wazima wewe
 
Kuna watu wantumia vibaya ujinga wa waafrika walio wengi. ndio maana kila kukicha yanaibuka makanisa mapya yanayoongozwa na wanaojiita manabii, mara mitume, mara askofu bila hata kuwepo chombo mallum cha kuwapa hivyo vyeo. Hivi sasa baa zile za kitimoto, na zingine zilizofungwa kutokana na kukosa wateja yamekuwa makanisa ya hawa matapeli. Wafrika wataendelea kuibiwa na hawa manabii wa uongo kwa kadri wnavyozidi kuwa wajinga kwa kukataa mafundisho ya Biblia na kufuata hadithi za watu.
 
Uyasemayo ni kweli ila nafurahishwa zaidi na picha/avatar yako jinsi unavyolia na CCM kukuchezea toka utotoni mwako mpaka hapa ulipofika bila maendeleo yeyote. Je, utaipigia kura mwakani baada ya kukusambaratisha miaka yote hiyo?

yani we acha tu na zaidi nimelia niliposikia eti nadaiwa 470,000/= kama Mtanzania ndo kabisa nazidi kuchoka mkuu na wewe kwenye ilo deni humo.
 
Kama Yesu alimfufua Lazaro na kuhaidi wale wataoamini watafanya zaidi ya yale....kwanini kama wewe Mkristo usiamini inawezekana?.....Watu kufa kimazingara ipo....kama unadhani ndugu yako kafa ktk mazingira tata unapoteza nini kumfanyia maombi ili kama ni msukule arudi?

Sioni tatizo mtu kufanya hayo maombi kama anatia shaka....ni mambo ya imani tu......kama binafsi (Mkatoliki) nawaombea marehemu na kuwafanyia ibada rasmi kuna tatizo gani watu kuombea mtu anayeaminika kufa ktk mazingira tata? Kazi ya kuamua kurudi ama kutokurudi ipo mikononi mwa Mungu sisi kazi yetu ni kuomba tu....Changamoto ktk Kanisa la sasa ni unabii wa kweli ktk roho maana hata YESU alisema Lazaro amelala tu hivyo hakubahatisha au kujaribu tu kuomba.....Unabii unafanya muombe kwa jinsi Mungu alivyowafunulia juu ya jambo hilo...

Soma mandiko ndugu yangu yatakuweka huru. Yesu alimfufua Lazaro toka kaburini alikuwa humo kwa siku nne na alikuwa ananuka sana hadi wakawa na hofu kufungua kaburi. Kama hao wanaojiita ufufuo na uzima wanyo imani walipaswa waende makaburini wakafufue watu huko.
 
yani we acha tu na zaidi nimelia niliposikia eti nadaiwa 470,000/= kama Mtanzania ndo kabisa nazidi kuchoka mkuu na wewe kwenye ilo deni humo.

Inasikitisha kwani nimo ila katika hilo deni ndugu zangu huko vijijini japo wamo lakini hawafaidiki na chochote, pia wala hawajuwi tu kwa nini wanadaiwa hilo deni wakati serikali haiwatambui na kuwajali. Kikwete na washikaji wake wanajichotea hela kama hawana akili vile.
 
Back
Top Bottom