princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,652
- 19,264
The waves Kwa ndani mnakua wachache kawaida halafu kistaarabu ukitoka hapo nje unaweza shika kichwa kuna hizo Range rover kama kiwandaniIla hii nchi kuna watu Wana pesa jamani.
kule mbezi beach kuna the waves.daah hayo magari yaliyomwagika pale.
masikini NI Mimi tu.
BMW /BENZ /Ford Rangers yani migari yote mikali unayojua halafu mipya ...Nimetokeaga kupapenda pa kistaarabu sana ni mbadala wa kidimbwi!



