Nadhani hapo chini kaelezea wazi kuwa hiyo thread ilikuwa ya mwaka 2012, ila saivi kaupdate 2014 kuwa ashampata mwenza na tayari washazaa mtoto ambaye sio positive!! nimeipenda hii, Mungu ni mwaminifu sn. Nakupongeza sn mtoa maada kwa ajasiri wako,na Mungu aendeleee kuwalinda na kuwaletea furaha kwenye maisha yenu.
USHAURI KWA AMBAO BADO HAWAJAAMBUKIZWA HIV: Jamani UKIMWI upo , haujaisha, tuendelee kuchukua tahadhari zakujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa huu! Naomba kuwasilisha