Mbona hata wabantu wanapombeka sana? Au sijakuelewa?
Hii research umeifanya lini mkuu?Ukiwangalia wazungu mara zote 95% .....
Nina hakika kuna more people ambao ni alcoholics hapa England kuliko Tanzania na hata kazi hawawezi kufanya kwa ajili ya pombe.Wazungu wanapombeka kwa akili na wanafuata nidhamu ya pombe-Baada ya kazi !!
Mpe mpumbavu kilevi anywe azisahau shida zake(nukuu ya bible) nafikiri kumsahaulisha mzungu shida zake ni mpaka alewe tofauti na mwafrika ambaye yeye kazaliwa kwenye shida kukulia shida utawwala wao shida kila kitu shida. Hivyo yeye ana furaha katikati ya shida maana asingeweza kuzikika kwa sababu ya kukosa jambo ambalo hajawahi kuli- experience.
kumbe boksi linawasaidia kuvumbua mambo fulani eeh!?Ukiwangalia wazungu mara zote 95% anapokuwa yupo furahani ni pale unampo mkuta amesha lewa (pombeka)sasa jiulize maisha yao yangekuwaje bila ya huo ulevi( pombe)?