Wananchi wa kawaida wana lalamika sana kuwa gharama za maisha zipo juu sana, na wanawasiwasi kuwa huu mzozo ukiendelea hali itazidi kuwa mbaya zaidi.
Matumizi ya bandari ya mombasa kwao wanaona kama vile hukumu ya kifo, wanasema huko ni mbali sana , hatima ya maisha ya kueleweka yanategemea mahusiano mema na majirani zake hususan Tanzania.
Wanaogopa kuyaweka haya hadharani maana huko baba mwenye nyumba ni mkali sana.
Anza na matatizo yako kamwone dentist akusaidie hayo mapengo yako yaliyojaa tumbaku mwitu.hali halisi ndio hiyo wananchi wanagugumia kwa maumivu, ila hawana pa kuyasemea haya
Anza na matatizo yako kamwone dentist akusaidie hayo mapengo yako yaliyojaa tumbaku mwitu.
hapa tunazungumzia kigali, hali inakua tete, we unasemaje kuhusu hilo, maana ndugu zako watakufa kwa njaa bosi wako akiendeleza bifu, halafu watu ninaowazungumzia hapa ni wale wananchi wa kawaida ambao kwao mambo ya sijui drc , sijui bandari ya dar wao haiwahusu...wananchi wa kawaida wa Dar es salaam wanasemaje kuhusu gharama ya maisha.?
wananchi wa kawaida wa Dar es salaam wanasemaje kuhusu gharama ya maisha.?