Maisha yanavyoenda kasi sana Alikiba / Harmonize / Diamond

sangujoseph

Senior Member
Nov 30, 2015
164
183
By Sangu Joseph
.
Agosti 2019 : Harmonize alijiondoa WCB (Salam Alithibitisha)

Januari 2020 (Harmonize alisaini mkataba wa kazi na Sayona (Endorsement) )

Januari 2020 - Harmonize akaanza Tour / Matamasha kama yote.

March 2020 - Karelease Album tena uzinduzi wa kibabe.

Aprili 2020 : Katambulisha Msanii Ibraa TZ

April 2020 : Alikiba kaachia ngoma #Dodo

Aprili 2020 : Harmonize kasaini Dili la CRDB #TemboAnaongea

April 2020 : Alikiba amekimbiwa na Wasanii.

April 2020 : Diamond Kaongeza Dili la Pepsi Max

Alikiba : Kujibu madai kwanini wasanii wameondoka.

Harmonize anashambulia sana / Mondi anashambulia /. Alikiba anajishambulia.
.

.
#KijanaMzalendo #IloveTZ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hao wasanii walikuwa na mkataba na Kings music???wamepikwa wameiva wakatafute kazi..Kiba hataki gozigozi..
 
Toka kwa shemeji yako uka pange ukiwa na majukumu huwezi kuwaza mambo ya watu
By Sangu Joseph
.
Agosti 2019 : Harmonize alijiondoa WCB (Salam Alithibitisha)

Januari 2020 (Harmonize alisaini mkataba wa kazi na Sayona (Endorsement) )

Januari 2020 - Harmonize akaanza Tour / Matamasha kama yote.

March 2020 - Karelease Album tena uzinduzi wa kibabe.

Aprili 2020 : Katambulisha Msanii Ibraa TZ

April 2020 : Alikiba kaachia ngoma #Dodo

Aprili 2020 : Harmonize kasaini Dili la CRDB #TemboAnaongea

April 2020 : Alikiba amekimbiwa na Wasanii.

April 2020 : Diamond Kaongeza Dili la Pepsi Max

Alikiba : Kujibu madai kwanini wasanii wameondoka.

Harmonize anashambulia sana / Mondi anashambulia /. Alikiba anajishambulia.
.

.
#KijanaMzalendo #IloveTZ

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We huoni ??? Rayvan nyegezi hana ata dili la condomu ao Asas

Sent using Jamii Forums mobile app
Rayvanny kutokuwa balozi wa company ndio kunyonywa? Hiv unajua kanuni za endorsement mbona wasanii wengi hawana endorsement nao wananyonywa? mfano mzuri Vanessa mdee,Roma,Darassa,Aslay n.k company ndio inapanga Nani anaweza kuwatangazia bidhaa zao na Wana vigezo vyao wanavyoangalia ndo maana gigy money na shishi baby pamoja na kwamba sio good singers lakini Wana endorsement wengi kuliko msanii yoyote bongo ukimtoa diamond.
 
Mfarume
FB_IMG_1587066233286.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana ndio nimedhibitisha Mond anawabania Wasanii wake wasipate endorsement.
Harmonize alifanya chaguo sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe kama investors kwa wasanii wa wasafi, unataka bidhaa yako ivume ndani na nje ya Tz, ni nani utamchagua ktk endorsement ya product zako? Hayo makampuni sio yanachagaguliwa diamond, yanachagua yenyewe!
 
Write your reply...Write your reply...mfalme wa kariakoo ana mambo makubwa yanakuja mbeleni nyie tulieni tu muone sema hapendi kuyaweka wazi si mnajuaga tena hapendagi show off
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom