Elijah Steel
Senior Member
- May 17, 2016
- 118
- 166
Asante kaka mawazo yako mazuri, kitu kinachokatisha tamaa ni mtu kasoma ana vyeti vizuri but nothing to do na hana planUshauri wangu ni kama ufuatao, kwanza tambua hakuna uwekezaji mzuri kama elimu, hivyo hutakufa njaa kama umewekeza hapo. Elfu kumi kwa week ukipunguza matumizi itakusaidia umalize chuo. Fanya jambo moja asikudanganye mtu, ajira zipo za kutosha kama una cheti kizuri, usimkatishe tamaa anayekusaidia umri wako katika karne ya sasa unahitaji elimu kwanza angalau ufike degree alafu ndiyo ufanye biashara. Nimekushauri hivi maana una mawazo sawa na mdogo wangu ninayemsomesha.
Inaonyesha unapenda business na unamikakati ya unapotaka kufika.
Nakushauri anza biashara mara moja.
Usiogope kushindwa kwasababu hapa mwanzoni mambo yatakuwa magumu tu. Usirudi nyuma
Nilianza business tangu college. Sikuacha chuo lakini muda mwingi nilikuwa natumia kwenye mambo yangu zaidi....nilifahamu nini nataka kwenye maisha yangu. Nikishindwa ni mimi na nikifanikiwa ni mimi. Maneno ya watu/wazazi si chochote sana kwangu.
My advice for you is...have courage to follow your heart. It somehow already know what you want to become.
Failure is part of success in the business, take it as a lesson.
All the best
Huyo alie kuita ziro brain yeye ndio ziro brain Ndg ukitaka mafanikio lazma uwe na maamuzi magumu kiasi kwamba wengine wanaweza fikiria umepotea kumbe ndio unaelekea pazuri mwenye kuumia ni wew hao wengine wanao kulazimisha upite hivi hawajui maumivu unayo pata kikubwa mshilikishe Mungu akutangulie kwenye mafanikio yako maana hiyo pesa unayo somea ndio mtaji wako usitegemee ukimaliza kusoma wazaz watahangaika na wew wataangalia wadogo zako wataanza kukuambia jitegemeee maana tumesha kusomesha elimu ulio nayo inatosha kukufanya upate kaz kumbe mambo yalisha badilikaNi mawazo yangu ndo maana nimeomba ushauri sikwenda Direct kwenye implementation kuniita "zero brain "unakuwa hujanisaidia ndugu yangu Hakuna aliyekamilika inawezekana experience yangu ni ndogo katika Maisha nikilinganisha na wewe, ndo maana nimeomba ushauri naamini humu kuna watu wana upeo mkubwa zaidi yangu kuna njia wametumia kufikia mafanikio tofauti na kusoma hicho ndo nataka sio matusi mkuu
Huo ni uoga sasa unamfundisha mwenzio cha mhimu fanya maamuzi magum mambo ya kuulizia hayo ni mbwe mbwe tu sawa na kwenda kuomba ushauri kwa mtu alie oa mwanamke eti unaenda kuuliza mke wako ulimtongozaje ukamuoa kila mtu na vocal zake na inategemeana na mazingiraKwanza kabla hujaacha shule watafute watu walioacha shule alafu uwaombe ushauri juu ya kuacha shule na uone watakuambia nn.
Pili kabla hujaanza biashara ya kuuza juisi ya miwa pamoja na mgahawa tafuta watu ambao wanafanya biashara ya miwa pamoja na mgahawa na wakafanikiwa kisha uombe ushauri kutoka kwao na uone watakuambia nn.
Tatu tafuta kitabu cha "RICHEST MAN IN BABYLON" ambacho kimeandikwa na Bwana George S Clason.nakushauri udownload pdf na audio yake pia alafu kisome kwa makini sana then baada ya hapo fanya maamuzi.
kuna wasomi wengi wana degree wako mtaani wanakufa njaa ajira hakuna.......niambie leo hii ni kampuni gani imetoa nafasi za kazi? AJIRA HAKUNA.......hebu washauri graduate walioko mtaani sasa hivi wa apply kampuni gani yenye nafasi za ajira...ajira hakunaUshauri wangu ni kama ufuatao, kwanza tambua hakuna uwekezaji mzuri kama elimu, hivyo hutakufa njaa kama umewekeza hapo. Elfu kumi kwa week ukipunguza matumizi itakusaidia umalize chuo. Fanya jambo moja asikudanganye mtu, ajira zipo za kutosha kama una cheti kizuri, usimkatishe tamaa anayekusaidia umri wako katika karne ya sasa unahitaji elimu kwanza angalau ufike degree alafu ndiyo ufanye biashara. Nimekushauri hivi maana una mawazo sawa na mdogo wangu ninayemsomesha.
Narudia tena hakuna cheti kizuri kinachokosa kazi, kazi zipo, ajira zipo. Elimu haitakitupa milele, utachelewa lakini one day mambo yatajipa. Mimi baada ya kumaliza masterz nilikaa miaka mitatu sina ajira, ila sikukata tamaa. Nikipatacho kwa sasa ni matunda ya elimu. Kwa hiyo fanya moja kwanza la msingi mengine ndiyo yafuate.kuna wasomi wengi wana degree wako mtaani wanakufa njaa ajira hakuna.......niambie leo hii ni kampuni gani imetoa nafasi za kazi? AJIRA HAKUNA.......hebu washauri graduate walioko mtaani sasa hivi wa apply kampuni gani yenye nafasi za ajira...ajira hakuna
mshana jr tupo chin ya miguu yako okoa hiki kipindi cha mpito kwa vijana naona hofu kubwa wakijitumbukiza kwenye madawa ya kulevya bange na heroine na wengine waki simama bugurun kwa azam wakisubir mshaara wa dhambi yao HIV... na weng wana elimu safi kabisa ohhhoo god help us,,,
Wewe ni mtu wa ajabu sana,,,,badala ya kumshauri chochote, unaandika tu "zero brain". Ama kweli alieshiba hamjui mwenye njaaZiro brain
Mkuu umenipa link hewa
Umeongea kitu kikubwa sana,,,,wazazi wengi wakishakusomesha tu ukamaliza, wananyoosha mikono juu na kukuachia uwanja wewe na mama kairuki bila kujua kwasasa mambo ya ajira ni magumu sana. Mungu atusaidie kwakweliHuyo alie kuita ziro brain yeye ndio ziro brain Ndg ukitaka mafanikio lazma uwe na maamuzi magumu kiasi kwamba wengine wanaweza fikiria umepotea kumbe ndio unaelekea pazuri mwenye kuumia ni wew hao wengine wanao kulazimisha upite hivi hawajui maumivu unayo pata kikubwa mshilikishe Mungu akutangulie kwenye mafanikio yako maana hiyo pesa unayo somea ndio mtaji wako usitegemee ukimaliza kusoma wazaz watahangaika na wew wataangalia wadogo zako wataanza kukuambia jitegemeee maana tumesha kusomesha elimu ulio nayo inatosha kukufanya upate kaz kumbe mambo yalisha badilika
Hizo ni sifa sasa mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]We kijana nakufahamu ngoja niambie wazazi wako wasikutumie iyo ada