Hilo daraja wanalolijenga ni vyema wakandarasi wakalikamilisha kwa wakati na serikali iwalipe pesa zao ili wakose kisingizio.
Miaka ya nyuma palikua na panton ikamwaga na kuua watu, wameleta hicho kivuko, bado ni shida! Hapana! tuseme inatosha. Watu wa Kilombero na Ulanga nao wana haki ya kuishi.