Maisha yanaendelea Mto Kilombero

Maisha yanaendelea Mto Kilombero

jichola3

Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
25
Reaction score
4
bc0b0ac620415c8e6c21451aee6089ed.jpg

Wananchi wilayani Ulanga wamerudi mwaka 47 baada ya kivuko cha Mto Kilombero kuzama na kupoteza maisha ya watu.

JWTZ wanafanya kazi ngumu ya kuwavusha abiria kwa boti za kasi huku wavuvi wakisaidia kubeba mizigo kwa mitumbwi ya kienyeji.
 
Washazoea mitumbwi.....

Huku mamba...kule kiboko...katikati mtumbwi

Ccm oyeee
 
bc0b0ac620415c8e6c21451aee6089ed.jpg

Wananchi wilayani Ulanga wamerudi mwaka 47 baada ya kivuko cha Mto Kilombero kuzama na kupoteza maisha ya watu.

JWTZ wanafanya kazi ngumu ya kuwavusha abiria kwa boti za kasi huku wavuvi wakisaidia kubeba mizigo kwa mitumbwi ya kienyeji.

Hilo daraja wanalolijenga ni vyema wakandarasi wakalikamilisha kwa wakati na serikali iwalipe pesa zao ili wakose kisingizio.

Miaka ya nyuma palikua na panton ikamwaga na kuua watu, wameleta hicho kivuko, bado ni shida! Hapana! tuseme inatosha. Watu wa Kilombero na Ulanga nao wana haki ya kuishi.
 
Back
Top Bottom