Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,551
- 6,516
Nipo fizikali fiti kaka na malipo yao huwa yapojeKama upo fizikali fiti nenda Buguruni pale kiwanda cha Bakhresa huwa wanachukua vibarua kila siku asubuhi, Ila narudia tena KAMA UPO FIZIKALI FITI. Kila la kheri.
Ahsante ndugu wazo lako ni zuri ntalifanyia kazi na nashukuru sana kwa mchango wakoSina connection na Wala sijawahi kuishi dar ila Nina experience na aina hiyo ya maisha jaribu kufanya haya yafuatayo pengine unaweza pata mwanga ingawa pia Kila mtu ana bahati yake
1. Toka tembea.... Kuna msemo mguu unaotoka ndio hurudi na baraka na wehenda husema riziki ya mbwa iko miguuni mwake...
Riziki haitokukuta umelala ndani au mekaa unatazama tv liziki iko nje Toka ndani tembea nje huko utakutana na hivyo viwanda unavyoviulizia, utakutana na mafundi mwashi wakitaka vibarua, utakutana na wabeba cargo, wapiga debe, nakadhalika.... Huko ndio utajichanganya sasa
2. Ongea na watu vijana au Rika lako
Tafuta marafiki au washkaji Rika lako ambao unaona wanajishughulisha kwa shughuli kama hizo nlizoorodhesha.. ongea nao fatana nao Wala usijifanye we wakishua na usiwaeleze habari za mafanikio ya Kaka yako... Changamana nao kama mtu asiye na mzazi au mlezi. NOTE Kuwa makini na tabia zao pia maana wengine hawana tabia njema
3. Waza kufanya zaidi ya hilo tandiko alilokupa
Amekupa malazi ko usibweteke ukasema natafutia tumbo langu tu waza kuwa atakutoa hata kwenye hilo tandiko ko unakazi ya kutafuta sehemu ya kulala pia. Namaanisha weka akiba hata kama ni kidogo ili ukiweza upate kamtaji ka kuuza hata maji dar.
Kwangu ni hayo tu na wengine watakuja kuongezea
Nakazia hapa naufahamu mziki wake hahahaha kibeba viroba kutoka kwenye mkanda wa mashine s mchezo bado matusi ya wakongwe paleKama upo fizikali fiti nenda Buguruni pale kiwanda cha Bakhresa huwa wanachukua vibarua kila siku asubuhi, Ila narudia tena KAMA UPO FIZIKALI FITI. Kila la kheri.
mdada, mtu anauza simu akinogewa na maisha au akipigika?!Yupo ndugu mmoja alinipigia kwamba ameingia mjini baada ya mishe za kijijini kumkataa . Alifikia kwa dadake single maza.....tukapatana tutaftane j2 flan ajue kwangu...
Siku ya miadi napiga simu weee haikupokelewa hadi leo. Ukute mishe zimemnogea kauza hadi cm
Zinaweza kunoga auze na simu ajazie mtajimdada, mtu anauza simu akinogewa na maisha au akipigika?!
[emoji1787][emoji23]Miezi SITA unakula tu na kushindia TV halafu leo ghafla unasema huchagui KAZI!
Una ucheshi mwingi mno.
Huyo ndugu yako kama ni wa kike ujue amepigwa hiyo simu, kama ni wa kiume ujue amepigika akaiuza.Zinaweza kunoga auze na simu ajazie mtaji
Wa kiumeHuyo ndugu yako kama ni wa kike ujue amepigwa hiyo simu, kama ni wa kiume ujue amepigika akaiuza.
Mwana akifuata huu ushauri bila Shaka atatusua.Sina connection na Wala sijawahi kuishi dar ila Nina experience na aina hiyo ya maisha jaribu kufanya haya yafuatayo pengine unaweza pata mwanga ingawa pia Kila mtu ana bahati yake
1. Toka tembea.... Kuna msemo mguu unaotoka ndio hurudi na baraka na wehenda husema riziki ya mbwa iko miguuni mwake...
Riziki haitokukuta umelala ndani au mekaa unatazama tv liziki iko nje Toka ndani tembea nje huko utakutana na hivyo viwanda unavyoviulizia, utakutana na mafundi mwashi wakitaka vibarua, utakutana na wabeba cargo, wapiga debe, nakadhalika.... Huko ndio utajichanganya sasa
2. Ongea na watu vijana au Rika lako
Tafuta marafiki au washkaji Rika lako ambao unaona wanajishughulisha kwa shughuli kama hizo nlizoorodhesha.. ongea nao fatana nao Wala usijifanye we wakishua na usiwaeleze habari za mafanikio ya Kaka yako... Changamana nao kama mtu asiye na mzazi au mlezi. NOTE Kuwa makini na tabia zao pia maana wengine hawana tabia njema
3. Waza kufanya zaidi ya hilo tandiko alilokupa
Amekupa malazi ko usibweteke ukasema natafutia tumbo langu tu waza kuwa atakutoa hata kwenye hilo tandiko ko unakazi ya kutafuta sehemu ya kulala pia. Namaanisha weka akiba hata kama ni kidogo ili ukiweza upate kamtaji ka kuuza hata maji dar.
Kwangu ni hayo tu na wengine watakuja kuongezea
Duuh..kwani vp kaka je ni kazi hatarishiNakazia hapa naufahamu mziki wake hahahaha kibeba viroba kutoka kwenye mkanda wa mashine s mchezo bado matusi ya wakongwe pale
Nitaufuata kaka jamaa kaongea vitu vya msingi sanaMwana akifuata huu ushauri bila Shaka atatusua.