Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,652
- 5,133
Watu wanakula lakini wanakula mlo mmoja! Mchana wengi wanapiga dash...biashara hata ya chakula haitoki siku hizi sijui watu wanakula nini.
dah kwa kweli............mana yani chakula unapika hakiendi kabisa.Watu wanakula lakini wanakula mlo mmoja! Mchana wengi wanapiga dash...
Wanakula kati kati ya asubuhi na mchana alafu wanaitafuta jionibiashara hata ya chakula haitoki siku hizi sijui watu wanakula nini.
Wanapiga lampard sioWatu wanakula lakini wanakula mlo mmoja! Mchana wengi wanapiga dash...
Siku hizi tunagonga kitimoto kwa raha kwenye mabaa. Mipaka yote imekufa!! Watu wanakula mpaka wanakomba sahani...biashara hata ya chakula haitoki siku hizi sijui watu wanakula nini.
Unishtue nikupitie na bodaboda... kale kavitz nshakapiga bei. Sio kwamba nimeshindwa kukagharamia, bali nakwepa foleni kwa amani na upendo.Jioni nikitoka mishemishe inabidi kutembea kama unafanya mazoezi kumbe nauli hamna
na mifupa inabebwa.Siku hizi tunagonga kitimoto kwa raha kwenye mabaa. Mipaka yote imekufa!! Watu wanakula mpaka wanakomba sahani...
Maniner!!
wanakula mlo mmoja tu sasa,.....biashara hata ya chakula haitoki siku hizi sijui watu wanakula nini.
Inatafunwa.... ikiwashinda inabebwa kupelekea dogi home.na mifupa inabebwa.
Wewe ni mama lishe?dah kwa kweli............mana yani chakula unapika hakiendi kabisa.
Kumbe! Mimi nilijua siku hizi watu wana mwamko wa mazoezi.Jioni nikitoka mishemishe inabidi kutembea kama unafanya mazoezi kumbe nauli hamna
tutakuwa vimodo bila kupenda.Wanakula kati kati ya asubuhi na mchana alafu wanaitafuta jioni
Siku hizi Watu wanakula mpakani mwa usiku na mchanabiashara hata ya chakula haitoki siku hizi sijui watu wanakula nini.
eeh ndugu yangu kamshahara hakatoshi nikaona niingie na mama lishe.Wewe ni mama lishe?