Maisha yamenishinda nahama mjini

Maisha yamenishinda nahama mjini

KERENG'ENDE

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2010
Posts
398
Reaction score
31
Haya maisha bora kwa kila Mtanzania mbona siya pati namimi mbona ni Mtanzania au ninakosea nini au natakiwa kuwa na kadi ya chama cha Mapinduzi? Mbona sielewi kila sikubheri ya jana.

Naomba msaada wa mawazo nifanyeje ili leo iwe bora kuliko jana,nimeamua kuhama mjini nikajaribu maisha ya kijijini ingawa sina uzoegu nayo pdngine huko kuna unafuu. Nime amua kuhama nyumba yangu na nina ipangisha nina msongo wa mawazo tafadhalini mnisaidie wapi nimekosea mpaka nina juta kuwa mtanzania.

Moderators mme toa tangazo langu la kupangisha nyumba Kule kwenye jukwa la biashara jamani mnataka niwe mwizi?

Au kwaszbabu mmejua kuwa sina kadi ya ccm?
 
mh! hii katika hii thread mwandishi anaonekana amechoka kweli si kidogo tafadhali wanajukwaa tumpe msada!!!!!
 
Tulia jipange upya;

Mikopo usicheze nayo hasa unapokuwa hauna biashara inayotembea;

Jipe moyo utashinda tu;
 
na huko kijijin kama hutofanya kaz maisha utazd kuyaona magumu tuu! sa sijui utaenda wap.. kulima unajua lakin? na uvuvi je?? hakuna sehem maisha marahisi ni juhudi zako tu.
 
Haya maisha bora kwa kila Mtanzania mbona siya pati namimi mbona ni Mtanzania au ninakosea nini au natakiwa kuwa na kadi ya chama cha Mapinduzi? Mbona sielewi kila sikubheri ya jana.

Naomba msaada wa mawazo nifanyeje ili leo iwe bora kuliko jana,nimeamua kuhama mjini nikajaribu maisha ya kijijini ingawa sina uzoegu nayo pdngine huko kuna unafuu. Nime amua kuhama nyumba yangu na nina ipangisha nina msongo wa mawazo tafadhalini mnisaidie wapi nimekosea mpaka nina juta kuwa mtanzania.

Moderators mme toa tangazo langu la kupangisha nyumba Kule kwenye jukwa la biashara jamani mnataka niwe mwizi?

Au kwaszbabu mmejua kuwa sina kadi ya ccm?

Wewe unafanya kazi gani mjini? na kijijini unaenda kufanya nini? Mtaji umeandaa, maana kijijini bila kijimtaji utajuta ni bora hata mjini unaweza ukaokota buku ten! Pole mkuu, mwanaume never give up!
 
Pole sana, tangazo lako limehamishiwa kwenye jukwaa la matangazo madogo.
Pia ningekushauri ukatafuta madalali wa huko Morogoro wanaweza kupata mteja kwa haraka zaidi.
Kila la kheri
 
mkuu jaribu ubungo darajani kuna mgodi wa zahabu umetema
 
mh! hii katika hii thread mwandishi anaonekana amechoka kweli si kidogo tafadhali wanajukwaa tumpe msada

Mwacheni arudi kijijini akalime, mazao mazuri yote atuletee sisi huku mjini. La auze nyumba akapange uswazi
 
Haya maisha bora kwa kila Mtanzania mbona siya pati namimi mbona ni Mtanzania au ninakosea nini au natakiwa kuwa na kadi ya chama cha Mapinduzi? Mbona sielewi kila sikubheri ya jana.

Naomba msaada wa mawazo nifanyeje ili leo iwe bora kuliko jana,nimeamua kuhama mjini nikajaribu maisha ya kijijini ingawa sina uzoegu nayo pdngine huko kuna unafuu. Nime amua kuhama nyumba yangu na nina ipangisha nina msongo wa mawazo tafadhalini mnisaidie wapi nimekosea mpaka nina juta kuwa mtanzania.

Moderators mme toa tangazo langu la kupangisha nyumba Kule kwenye jukwa la biashara jamani mnataka niwe mwizi?

Au kwaszbabu mmejua kuwa sina kadi ya ccm?
Hata jina lako linachangia kushindwa kukaa mjini na kijijini ndo hutaweza kabisa
Yellowneckedspurfowl250.JPG
 
Pole mkuu. Tulia tu kwanza. Yani ikiwezekana rudi kijijini halaf poteza hata mwezi ukiwa unatafakari tu. Ilishawahi kuntokea mimi kipindi flani ndani ya miaka miwili nilipoteza million nyingi tu maana kila nililokua nafanya lilibuma. Nikabaki hamna kitu. Basi nilijivuta pembeni nikatulia tuliiii maana ilibaki kidogo niwe mchawi!
Baada ya mda nikaanza na kila nilichokuwa na kijua na kinanipa hela kidogo. Nikapigana nacho kwa mda mrefu huku niki expand the rest is history...
 
Kitu kibaya kuliko yote katika utafutaji ni KUKATA TAMAA (wanasema YOU CAN LOOSE EVERYTHINH BUT NVER LOOSE HOPE) Mkuu ukienda kijijini na negative mind huko ndo balaa kabisa. Kaa chini piga plan B hapa hapa mjini ilimradi usipange deal za kitapeli.
 
Haya maisha bora kwa kila Mtanzania mbona siya pati namimi mbona ni Mtanzania au ninakosea nini au natakiwa kuwa na kadi ya chama cha Mapinduzi? Mbona sielewi kila sikubheri ya jana.

Naomba msaada wa mawazo nifanyeje ili leo iwe bora kuliko jana,nimeamua kuhama mjini nikajaribu maisha ya kijijini ingawa sina uzoegu nayo pdngine huko kuna unafuu. Nime amua kuhama nyumba yangu na nina ipangisha nina msongo wa mawazo tafadhalini mnisaidie wapi nimekosea mpaka nina juta kuwa mtanzania.

Moderators mme toa tangazo langu la kupangisha nyumba Kule kwenye jukwa la biashara jamani mnataka niwe mwizi?

Au kwaszbabu mmejua kuwa sina kadi ya ccm?
sikiliza wewe kereng'ende, maisha bora unayo wewe mwenyewe, maisha mabaya unayo wewe mwenyewe, MUNGU unaye wewe mwenyewe, shetani unaye wewe mwenyewe, unachotakiwa ni kujitambua tu, kukata tamaa ni dhambi kubwa sana ambayo adhabu yake ni mbaya sasa, kitu cha maana ulichosema wewe kereng'ende ni suala la kurudi kijijini, hilo mimi ninakubaliana na wewe asilimia mia moja na hata kama kuna mtu mwingine anataka kurudi kijijini nitamuunga mkono asilimia mia. kwa hiyo ndugu kereng'ende rudi kijijini haraka sana na ukafanye kazi kwa bidii na maarifa.
 
haya maisha bora kwa kila mtanzania mbona siya pati namimi mbona ni mtanzania au ninakosea nini au natakiwa kuwa na kadi ya chama cha mapinduzi? Mbona sielewi kila sikubheri ya jana.

Naomba msaada wa mawazo nifanyeje ili leo iwe bora kuliko jana,nimeamua kuhama mjini nikajaribu maisha ya kijijini ingawa sina uzoegu nayo pdngine huko kuna unafuu. Nime amua kuhama nyumba yangu na nina ipangisha nina msongo wa mawazo tafadhalini mnisaidie wapi nimekosea mpaka nina juta kuwa mtanzania.

Moderators mme toa tangazo langu la kupangisha nyumba kule kwenye jukwa la biashara jamani mnataka niwe mwizi?

Au kwaszbabu mmejua kuwa sina kadi ya ccm?

ulivyokuwa unashinda baa ulitegemea nini?????????????????? Kwa heri, hakikisha umenunua jembe, panga shoka mundu, mkuki , hizo noi baadhi ya zana zitumikazo kijijini kila siku
 
pole sana mkuu, samahani mkuu kabla ya ushauri naomba nikuulize maswli machache ,kamakweli unanyumba ya kupangisha tena ya biashara ,unaimliki wewe na uliijenga wewe au n iya urithi? ,navyofahamu mimi kujenga nyumba mjini lazima ulikuwa na kipato kikubwa ambapo ulikuwa unijibana mpaka ukajenga nyumba, je huko kijijini unenda kwa nani? na malengo yako huko ni nini?
 
pole sana mkuu, samahani mkuu kabla ya ushauri naomba nikuulize maswli machache ,kamakweli unanyumba ya kupangisha tena ya biashara ,unaimliki wewe na uliijenga wewe au n iya urithi? ,navyofahamu mimi kujenga nyumba mjini lazima ulikuwa na kipato kikubwa ambapo ulikuwa unijibana mpaka ukajenga nyumba, je huko kijijini unenda kwa nani? Na malengo yako huko ni nini?
ili nikupe ushauri mzuri ambao huwezi kuutegemea ktk maisha yako nijibu haya maswali mawili tu! Kila swali lina maana yake: (1) ww ni jinsia gani? (2) una umri gani?.
 
sikiliza wewe kereng'ende, maisha bora unayo wewe mwenyewe, maisha mabaya unayo wewe mwenyewe, MUNGU unaye wewe mwenyewe, shetani unaye wewe mwenyewe, unachotakiwa ni kujitambua tu, kukata tamaa ni dhambi kubwa sana ambayo adhabu yake ni mbaya sasa, kitu cha maana ulichosema wewe kereng'ende ni suala la kurudi kijijini, hilo mimi ninakubaliana na wewe asilimia mia moja na hata kama kuna mtu mwingine anataka kurudi kijijini nitamuunga mkono asilimia mia. kwa hiyo ndugu kereng'ende rudi kijijini haraka sana na ukafanye kazi kwa bidii na maarifa.

kwani kijijini maisha ni rahisi?
 
Haya maisha bora kwa kila Mtanzania mbona siya pati namimi mbona ni Mtanzania au ninakosea nini au natakiwa kuwa na kadi ya chama cha Mapinduzi? Mbona sielewi kila sikubheri ya jana.

Naomba msaada wa mawazo nifanyeje ili leo iwe bora kuliko jana,nimeamua kuhama mjini nikajaribu maisha ya kijijini ingawa sina uzoegu nayo pdngine huko kuna unafuu. Nime amua kuhama nyumba yangu na nina ipangisha nina msongo wa mawazo tafadhalini mnisaidie wapi nimekosea mpaka nina juta kuwa mtanzania.

Moderators mme toa tangazo langu la kupangisha nyumba Kule kwenye jukwa la biashara jamani mnataka niwe mwizi?

Au kwaszbabu mmejua kuwa sina kadi ya ccm?

Hivi unajua maana ya KERENG'ENDE?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom