Eddy mtatina
Senior Member
- Jan 8, 2014
- 174
- 142
Hahahaaaa!!! Ili uwahi men free?Mkuu wapi hapo maana mwenyewe sijalala hapa
Sana mkuu mambo magumu fursa ikitokea tunalala nayo mbeleHahahaaaa!!! Ili uwahi men free?
njoo hukuHahahaaaa!!! Ili uwahi men free?
Leo zamu ya mke mwenza, zamu yangu kujiachia baba.njoo huku
unajiachia hadi naona wivuLeo zamu ya mke mwenza, zamu yangu kujiachia baba.
mmhLeo zamu ya mke mwenza, zamu yangu kujiachia baba.
Vaa tutoke!Hahahaaaa!!! Ili uwahi men free?
Nishavaa, njoo unifuate basi.Vaa tutoke!
Hautakiwi kuona wivu, mwezi mzima wa kujinafasi.unajiachia hadi naona wivu
Nishavaa, njoo unifuate basi.
Vaa tutoke!
Kwahiyo wa kwenye picha ndio wewe mdogo wangu??? Haya njoo unipitie.
Leo nmeweka picha kumaliza utata!
Unaweza kutoka na under 18?Kwahiyo wa kwenye picha ndio wewe mdogo wangu??? Haya njoo unipitie.
Akuuuu usintafutie kesi mimi. Ngoja nilale.Unaweza kutoka na under 18?
Mbona mie sijaelewa antieAkuuuu usintafutie kesi mimi. Ngoja nilale.