Maisha yamebadilika sana

Eddy mtatina

Senior Member
Jan 8, 2014
174
142
Hello. .hope wikendi iko poa kwenu, nimeshangazwa na kitendo cha jinsia ya kike kulipa kiingilio kuingia katika kumbi za starehe na jinsia ya kiume kupita free mlangoni.

Kweli hii ni awamu ya tano, ina maana idadi ya ke imekuwa kubwa sana kiasi cha kutengenezewa mazingira ya kupunguzwa kwenye maeneo ya kula bata mjini hapa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom