Maisha yaendelee

mizarb

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,402
1,285
2b3906a26216aea15290020312c3e0d3.jpg
 
  • Thanks
Reactions: ydn
safi sana hii mkuu, inanikumbusha sehemu za dodoma, bahi huko. hizi nyumba kama umemwaga zege juu, ukimkuta mgogo mdani na chungu cha ugali wa mtama mwekundu na mlenda, maisha safi kabisa yanakwenda, anashangilia tu, ccm nambari one eheee!
 
Hii Dodoma, bora uishe kwako kwa amani kuliko kupanga kwa karaha
 
Muhimu kuwa na furaha, amani ya moyo, na kuridhika.

Maisha yanasonga mbele bila kipingamizi
 
Back
Top Bottom