Maisha yabinadamu katika computer !!

X-Codee

Member
May 15, 2017
26
75
Sometimes serious sometime kidding hayo ndo maisha yabinadamu.

Hivi kwa mfano vitufe au kwalugha nyingine button za computer zingelikuwa katika maisha yabinadamu wewe ungelitumia button zipi zaidi kutokana na situation uliyonayo?

Mfano:-

>>Play button

Hapa una switch maisha yaendelee kama kawaida n.k

>> Pause button

Hapa unge switch moments zako nzuri au miaka ibaki hapohapo n.k

>> Rewind button

Unarudisha nyuma siku au events zako ulizo miss n.k

>> Forward button

Hapa unapeleka mbele baadhi yamambo n.k

>> Delete button

Kama umekosea kitu unafuta n.k

………………………………………………………………………………………………..

Nimetaja vitufe vichache tu japo computer inavitufe vingi sana, wewe ungetumia kitufe kipi kwasasa kutokana na situation uliyonayo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom