Nina pia kaka yangu alisoma huko Algeria ila baada ya hapo hana ajira mpaka leo..hadi anawaza kuanza degree tz
TZ yetu ni ile ile, kuna coz angesema ajira lazima, kama MD pharmacy, ila zile za changamoto ata ukisoma russia-social works huenda ukabaki nyumban tu labda ye alisomea nini?
amepataje mara mbili? Mi nadhan ata hizo scholarship zimeombwa kupitia tcu.
Nina pia kaka yangu alisoma huko Algeria ila baada ya hapo hana ajira mpaka leo..hadi anawaza kuanza degree tz
Kusoma nje sio guarantee ya kupata kazi hapa nchini labda usome Havard, Yale na wengineo.. ila vyuo vya community kupata kazi kazi sana
Kusoma nje sio guarantee ya kupata kazi hapa nchini labda usome Havard, Yale na wengineo.. ila vyuo vya community kupata kazi kazi sana
Kweli kabisa aisee
Mi nadhani ni wakati wa wazazi, walezi, sponsors na wanafunzi kuangalia nje ya upeo wao.. sioni sababu ya kumsomesha mtu kwa mamilioni nje ya nchi afu akose kazi hapa nchini, bora umsomeshe hapa Tanzania na hizo hela zingine afanye biashara nina hakika atabenefit mara 100 maana hela itakuwa yazunguka na bado anapata elimu....
TATIZO KUBWA HAPA NCHINI KWETU NI UJIKO MWINGI NA MAJIVUNO MTU ANAWEZA ENDA MALAYSIA TU AKIRUDI TAMBO NYINGI SANA
Sasa issue ni kwamba wanapata scolaship wanaona wasichezee bahati
Hilo ndio tatizo, kuna mmoja alipewa na Serikali kwenda China aliporudi wakamwacha
Sasa issue ni kwamba wanapata scolaship wanaona wasichezee bahati