Maisha ya uzeeni yanafikirisha sana

Maisha ya uzeeni yanafikirisha sana

Dr dre Ana 60s na yupo vzr kikubwa ujitunze na kupunguza ngono
Tanzania Kuna kina Dr. Dre wangapi? Hela siyo kila kitu. Uzee ni mjadala wa kitaifa na kimataifa.

Iko siku utarejea ulichokiandika hapa utashangaa kuwa labda ulipoandika ulikuwa umetekwa na watu wasiojulikana wakakulaximisha uandike!
 
Mama atakuwa amenipiga bao, kwa kunufaika na watoto huku mimi nikiwa nateseka kama simba dume aliezeeka na kutelekezwa porini na uzao wake.

Maisha ya uzeeni yanafikirisha sana, ngoja nijipikie chakula changu.
Mkeo akishazeeka mara 100 wewe unaakua na nguvu yeye hana tena nguvu hata za kusonga ugali na wanawake wana tabia ya kutia huruma kwa hio kwa kutia huruma kwake watoto watamwangalia yeye zaidi kuliko wewe sababu yeye ndie aliewanyonyesha mpaka wanakua wewe hukuwahi kuwanyonyesha watoto wako wakiwa wadogo kwa hio watoto hutembea na ile bond ya mama yao tangu wakiwa wadogo mpaka wanakua kuna memories hua hazifutiki hata ufanyaje ndio maana kuna familia Baba ukianzisha ugomvi na mama watoto wote utaona wanakusaliti na kukaa upande wa Mama yao hata km mama yao ndie mwenye makosa
 
Nimekuja kugundua, kuhangaika kwangu kote katika kusomesha vijana wangu shule za gharama kubwa, kumbe najitengenezea bomu la maisha ya upweke na yasiyo kuwa na matumaini uko uzeeni.

Vijana watakuwa na maisha yao, na hawatakuwa tayari kuwa karibu na mimi (baba), zaidi ya kumpenda mama yao zaidi.

Mama atakuwa amenipiga bao, kwa kunufaika na watoto huku mimi nikiwa nateseka kama simba dume aliezeeka na kutelekezwa porini na uzao wake.

Maisha ya uzeeni yanafikirisha sana, ngoja nijipikie chakula changu.

View attachment 3400407
Hii picha inatumika kila mahali. Nimeanza kuiona siku nyingi kweli kweli. Ukiwa na maskini, hakuna stage ya maisha ni nzuri. Na ukiwa na fedha, hakuna stage ya maisha ni mbaya au ya ukiwa.
 
Tanzania Kuna kina Dr. Dre wangapi? Hela siyo kila kitu. Uzee ni mjadala wa kitaifa na kimataifa.

Iko siku utarejea ulichokiandika hapa utashangaa kuwa labda ulipoandika ulikuwa umetekwa na watu wasiojulikana wakakulaximisha uandike!
Ebu fafanua Mkuu kwanza about my concern.
 
Maisha ya uzeeni Kwa wanaume ni changamoto Sana na hasa kama uzee unakukuta ukiwa maskini.

Hebu fikiria mwanaume ambaye anapambana watoto wake wasome huku yeye anakopa. Maisha ya kupanga huku anaendesha familia.

Wazia mtu kazeeka na kwenye maisha yake yote aliishia kujenga nyumba yake Moja tu ambayo si ya kupangisha, mwanaume huyo ataendeshaje maisha yake miaka 20 ijayo akiwa anaishi chanika.

Bahati mbaya wanaume ambao hawajazeeka hudhani wazee wataabikao waliishi maisha ya kutapanya mali ujanani... KUA UYAONE😎
 
Uzee hauji ghafla Mkuu ikiwa haujapata magonjwa hakuna kitu cha kuhofia
 
Maisha ya uzeeni Kwa wanaume ni changamoto Sana na hasa kama uzee unakukuta ukiwa maskini.

Hebu fikiria mwanaume ambaye anapambana watoto wake wasome huku yeye anakopa. Maisha ya kupanga huku anaendesha familia.

Wazia mtu kazeeka na kwenye maisha yake yote aliishia kujenga nyumba yake Moja tu ambayo si ya kupangisha, mwanaume huyo ataendeshaje maisha yake miaka 20 ijayo akiwa anaishi chanika.

Bahati mbaya wanaume ambao hawajazeeka hudhani wazee wataabikao waliishi maisha ya kutapanya mali ujanani... KUA UYAONE😎
Mimi nimekaa na mzee wangu akiwa na 60 na sasa yupo 68yrs

The something I noticed , ukijitunza age just a number
 
Nimekuja kugundua, kuhangaika kwangu kote katika kusomesha vijana wangu shule za gharama kubwa, kumbe najitengenezea bomu la maisha ya upweke na yasiyo kuwa na matumaini uko uzeeni.

Vijana watakuwa na maisha yao, na hawatakuwa tayari kuwa karibu na mimi (baba), zaidi ya kumpenda mama yao zaidi.

Mama atakuwa amenipiga bao, kwa kunufaika na watoto huku mimi nikiwa nateseka kama simba dume aliezeeka na kutelekezwa porini na uzao wake.

Maisha ya uzeeni yanafikirisha sana, ngoja nijipikie chakula changu.

View attachment 3400407

Karibuni wazee watarajiwa, kwa maoni na michango kwa mada husika, huku ukijiandaa kupambana na vita vyako mwenyewe vya uzeeni.

Kumbuka, usipojiandaa vizuri, kazi ya kuosha vyombo na kupeleka wajukuu shule utakabiziwa wewe.​
Sasa we mzee kupika tu ndio unapiga pamba na mkanda unachomekea?
 
DR HAYA LAND Uzee ni kweli hajui ghafla, jee ukwasi ama umaskini ni mambo ya kujitakia? Unajua jinsi wanaume wanavyokumbwa na upweke uzeeni?

Umewahi kujiuliza ni kwa nini walinzi wengi ni wazee na wengine wanazo familia zao? Uzee wa wanaume una ukiwa sana.

Sijasema kuwa hakuna wanaume wanaofurahia maisha yao ya uzeeni, mmojawapo ni huyo Mzee wako.
 
Mzee wangu hana pesa kihivyo Ila kula kulala uhakika

Kumbuka Mimi nilikuwa nakaa na mzee wangu hatuna house girl wala house boy

Alikuwa Mimi na yeye Ila tuliishi vzr kitu nakwambia 60s sio miaka Mingi Sana ikiwa umejitunza .

Wazee wengi wanaoteseka ni kutokana na lifestyle yao inawaponza

Unakuta MTU yupo 60 Ila anakimbazana na ngono., tungi , n.k

So uzee ni blessing na Kama Kijana usiogope uzee kikubwa jitunze Sana

Kuhusu umasikini , ikiwa haukupata magonjwa basi ukitoboa 60 hauna kitu utakuwa Una mkosi

Maana sio lazima ujenge mansion Ila kinyumba , vimifugo na kishamba hauwezi kukosa.
DR HAYA LAND Uzee ni kweli hajui ghafla, jee ukwasi ama umaskini ni mambo ya kujitakia? Unajua jinsi wanaume wanavyokumbwa na upweke uzeeni?

Umewahi kujiuliza ni kwa nini walinzi wengi ni wazee na wengine wanazo familia zao? Uzee wa wanaume una ukiwa sana.

Sijasema kuwa hakuna wanaume wanaofurahia maisha yao ya uzeeni, mmojawapo ni huyo Mzee wako.
 
wazee wengi wanalipwa waliyoyapanda wenyewe,....kuna vizee vilijua kunyanyasa familia zao,....
 
Back
Top Bottom