Maisha ya uzeeni yanafikirisha sana

Maisha ya uzeeni yanafikirisha sana

Hyo ndo disadvantages mojawapo ya kung'ang'ana na ajira za serikali hutaki kusikia mambo ya kujiajiri......ukisha stafu unakuwa nyumbn huna chakufanya kama kuku....uku mkeo anakuona kama mbwa hivi atakuzuka kwasabbu ya hyo pension tu
Nini kifanyike mkuu ili kuokoa jahazi?
 
Utasikia baba alikua mlevi tu anarudi saa nne kalewa na kuondoka saa 11, mama ndio alitupenda na kutujali
Inafikirisha sana
club.jpg
 
Kama umejipanga vizuri haina shida kabisa
Watoto nao watafanya Yao maana hata mimi nilikuwa na wazazi na nikawa na maisha yangu

Nao pia walikuwa na wazazi ni cycle of life wala isikupe homa

Ntajipikia Nikitaka ila hela ipo ya kuajiri hata 10 kwa maisha haya

Miaka 60 huna kitu ni mtihani ila kama zipo mbona watakuja wenyewe kuniomba msaada

Baba nitakuwa baba tu wa kuwasaidia wanangu hata wawe na umri gani

Mwanangu akitaka 10m lazima nimpe
 
Nimekuja kugundua, kuhangaika kwangu kote katika kusomesha vijana wangu shule za gharama kubwa, kumbe najitengenezea bomu la maisha ya upweke na yasiyo kuwa na matumaini uko uzeeni.

Vijana watakuwa na maisha yao, na hawatakuwa tayari kuwa karibu na mimi (baba), zaidi ya kumpenda mama yao zaidi.

Mama atakuwa amenipiga bao, kwa kunufaika na watoto huku mimi nikiwa nateseka kama simba dume aliezeeka na kutelekezwa porini na uzao wake.

Maisha ya uzeeni yanafikirisha sana, ngoja nijipikie chakula changu.

View attachment 3400407
Kwa nini ufike uzeeni wakati uwezekano wa kutokufika uko mikononi mwako!?
 
Nimekuja kugundua, kuhangaika kwangu kote katika kusomesha vijana wangu shule za gharama kubwa, kumbe najitengenezea bomu la maisha ya upweke na yasiyo kuwa na matumaini uko uzeeni.

Vijana watakuwa na maisha yao, na hawatakuwa tayari kuwa karibu na mimi (baba), zaidi ya kumpenda mama yao zaidi.

Mama atakuwa amenipiga bao, kwa kunufaika na watoto huku mimi nikiwa nateseka kama simba dume aliezeeka na kutelekezwa porini na uzao wake.

Maisha ya uzeeni yanafikirisha sana, ngoja nijipikie chakula changu.

View attachment 3400407
Pole sana Mzee wetu.
Ulisahau kumkumbuka Muumba wako siku za ujana wako, kabla hazijaja siku zilizo mbaya...(Mhu 12:1).

Lakini usijali baba yangu. Mwisho wa mambo yote umekaribia. Hakikisha umetubu dhambi na kumwamini Yesu. Karibu atakuja kutuchukua na kutupeleka mbinguni. Huko hakuna upweke wala adha ya kujipikia ugali.
 
Kama umejipanga vizuri haina shida kabisa
Watoto nao watafanya Yao maana hata mimi nilikuwa na wazazi na nikawa na maisha yangu

Nao pia walikuwa na wazazi ni cycle of life wala isikupe homa

Ntajipikia Nikitaka ila hela ipo ya kuajiri hata 10 kwa maisha haya

Miaka 60 huna kitu ni mtihani ila kama zipo mbona watakuja wenyewe kuniomba msaada

Baba nitakuwa baba tu wa kuwasaidia wanangu hata wawe na umri gani

Mwanangu akitaka 10m lazima nimpe
Hii itategemea na namna ulivyojiwekeza kwako kuliko wao
 
Pole sana Mzee wetu.
Ulisahau kumkumbuka Muumba wako siku za ujana wako, kabla hazijaja siku zilizo mbaya...(Mhu 12:1).

Lakini usijali baba yangu. Mwisho wa mambo yote umekaribia. Hakikisha umetubu dhambi na kumwamini Yesu. Karibu atakuja kutuchukua na kutupeleka mbinguni. Huko hakuna upweke wala adha ya kujipikia ugali.
Haya ni maneno ya kujifariji, ni sawa na wale waliopigana vita vya majimaji wakiamini ukisema maji risasi zinageuka kuwa maji.
 
Back
Top Bottom