Maisha ya uzeeni yanafikirisha sana

Maisha ya uzeeni yanafikirisha sana

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,147
Reaction score
55,635
Nimekuja kugundua, kuhangaika kwangu kote katika kusomesha vijana wangu shule za gharama kubwa, kumbe najitengenezea bomu la maisha ya upweke na yasiyo kuwa na matumaini uko uzeeni.

Vijana watakuwa na maisha yao, na hawatakuwa tayari kuwa karibu na mimi (baba), zaidi ya kumpenda mama yao zaidi.

Mama atakuwa amenipiga bao, kwa kunufaika na watoto huku mimi nikiwa nateseka kama simba dume aliezeeka na kutelekezwa porini na uzao wake.

Maisha ya uzeeni yanafikirisha sana, ngoja nijipikie chakula changu.

dz.jpg

Karibuni wazee watarajiwa, kwa maoni na michango kwa mada husika, huku ukijiandaa kupambana na vita vyako mwenyewe vya uzeeni.

Kumbuka, usipojiandaa vizuri, kazi ya kuosha vyombo na kupeleka wajukuu shule utakabiziwa wewe.​
 
Nimekuja kugundua, kuhangaika kwangu kote katika kusomesha vijana wangu shule za gharama kubwa, kumbe najitengenezea bomu la maisha ya upweke na yasiyo kuwa na matumaini uko uzeeni.

Vijana watakuwa na maisha yao, na hawatakuwa tayari kuwa karibu na mimi (baba), zaidi ya kumpenda mama yao zaidi.

Mama atakuwa amenipiga bao, kwa kunufaika na watoto huku mimi nikiwa nateseka kama simba dume aliezeeka na kutelekezwa porini na uzao wake.

Maisha ya uzeeni yanafikirisha sana, ngoja nijipikie chakula changu.

View attachment 3400407
Mambo'ayo ndomimi siyataki sasa!
 
Hyo ndo disadvantages mojawapo ya kung'ang'ana na ajira za serikali hutaki kusikia mambo ya kujiajiri......ukisha stafu unakuwa nyumbn huna chakufanya kama kuku....uku mkeo anakuona kama mbwa hivi atakuzuka kwasabbu ya hyo pension tu
 
Back
Top Bottom