Maisha ya uswahilini ovyo sana!!!

Maisha ya uswahilini ovyo sana!!!

kama unampenda mpangishie kagorofa hapo mbezi bichi uone kama kuna mtu atakuchungulia.
 
Umenikumbusha enzi zileee nikimtembelea demu wangu mitaa ya m'nyamala sokoni nyumba za kupanga za uswahilini. Basi mama mwenye nyumba alikuwa anawafukuza watoto wasichezee dirishani kwetu, utasikia akiwaambia "acheni kelele hapo dirishani wakubwa ndani wamepumzika" 🙂. Aisee, basi hapo inakuwa swaafi sana mabao ya mpigo inakuwa hehehe

Eti Mi nimemtembelea demu wangu, siaonana nae siku toka amehamia makazi mapya. Wapangaji wenzie wamekaa coridoni karibu na mlango wake ili ninapotoka wanione. Sijui ili iweje? Kama akitaka wanifahamu si atawaita awatambulishe bwana! Sasa tumepiga story weee, nyeg* zikapanda tukaanza mambo yetu. Kama dakika kumi na tano au 20 hivi napiga mzigo nao wapo kimyaaaaaa wanatusikiliza. Halafu nikasikia wanacheka he he heeeeee ukiona manyoya? Mwingine kajibu ujue kaliwa!!! Halafu na yeye akasema ukiona kimya? Nikachungulia dirishani yule Mwenzie anajibu kwa ishara inayoashiria anasema "ujue analiwa uroda". Wamenikata stim kishenzi. Kmayo zao. Nimeondoka na nyeg* zangu.
 
mmmmh nenda kampangishie karibu na kwako ili aachane na maisha ya uswahilini.huo uhuni utakusaidia nini wewe baba mtu mzima mwenye mtoto wa sekondari? hayo mambo waachie vijana.I hate u coz i knw u personally.
 
Eti Mi
nimemtembelea demu wangu, siaonana nae siku toka amehamia makazi mapya.
Wapangaji wenzie wamekaa coridoni karibu na mlango wake ili ninapotoka
wanione. Sijui ili iweje? Kama akitaka wanifahamu si atawaita
awatambulishe bwana! Sasa tumepiga story weee, nyeg* zikapanda tukaanza
mambo yetu. Kama dakika kumi na tano au 20 hivi napiga mzigo nao wapo
kimyaaaaaa wanatusikiliza. Halafu nikasikia wanacheka he he heeeeee
ukiona manyoya? Mwingine kajibu ujue kaliwa!!! Halafu na yeye akasema
ukiona kimya? Nikachungulia dirishani yule Mwenzie anajibu kwa ishara
inayoashiria anasema "ujue analiwa uroda". Wamenikata stim kishenzi.
Kmayo zao. Nimeondoka na nyeg* zangu.

Una uhusiano na mtoto mdogo achana nae au mrekebishe.
 
Back
Top Bottom