ndandawamalenja
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 548
- 664
Eti Mi nimemtembelea demu wangu, siaonana nae siku toka amehamia makazi mapya. Wapangaji wenzie wamekaa coridoni karibu na mlango wake ili ninapotoka wanione. Sijui ili iweje? Kama akitaka wanifahamu si atawaita awatambulishe bwana! Sasa tumepiga story weee, nyeg* zikapanda tukaanza mambo yetu. Kama dakika kumi na tano au 20 hivi napiga mzigo nao wapo kimyaaaaaa wanatusikiliza. Halafu nikasikia wanacheka he he heeeeee ukiona manyoya? Mwingine kajibu ujue kaliwa!!! Halafu na yeye akasema ukiona kimya? Nikachungulia dirishani yule Mwenzie anajibu kwa ishara inayoashiria anasema "ujue analiwa uroda". Wamenikata stim kishenzi. Kmayo zao. Nimeondoka na nyeg* zangu.