DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,382
- 83,405
Duuh wewe sasa kiboko, ila vuta jiko comrade!! Shida yote ya nin*Haya maisha ya ki bachelor bhana* *noma sana.*
*unaweza ukatafuta dekio kama dakika 20* *kuja kushtuka kumbe umelivaa*
[emoji23][emoji28][emoji23] asee*Haya maisha ya ki bachelor bhana* *noma sana.*
*unaweza ukatafuta dekio kama dakika 20* *kuja kushtuka kumbe umelivaa*
UvivuNilipika uji wa ulezi usiku, asubuhi nikaenda gym narudi nataka tena nipike uji.
Akili inaniambia, sasa hii sufuria jana si umepikia uji? Na sasa hivi si utapikia uji? Sasa uioshe ya kazi gani?
Kilichofuatia ITV .......
Hahahaha hapana maamuzi yangu yalifocus zaidi jinsi gani naweza kubana matumizi huku nikiokoa point za maji ambazo zingeongezeka kama ningeosha mara mbiliUvivu
Kazi zote nitafanya lakini kuosha vyombo tu, hapo ndio ugonjwa ulipo.Nilipika uji wa ulezi usiku, asubuhi nikaenda gym narudi nataka tena nipike uji.
Akili inaniambia, sasa hii sufuria jana si umepikia uji? Na sasa hivi si utapikia uji? Sasa uioshe ya kazi gani?
Kilichofuatia ITV .......
Mkuu umerudi maana ulipotea kidogoVijana oeni
Na pesa imekata mfukoniIkifikaa Mida ya Kupika saa 12 jioni hujui wala huoni cha kupika.. sasa ngoja mida iendee saa 2 hiv njaa imekoleaa ndo akili inakuja..