ubachela unapika ugali mara mbichi*FAHAMU MAISHA YA UBACHELA*
maisha Ya Ubachelor Unaweza Kujishaua Kufululiza Kupika Msosi Hata Mwezi Mzima Ila Vyombo Visafi Vikiisha Ndani Unarudi Kwenye Utaratibu Ule Ule Wa Kula Chipsi Na Paja La Bukujero.
Maisha Ya ubachela Kila Siku Tunapoteza Vijiko Kidogo Kidogo Kwa Kumwaga Maji Ya Ukoko Wa Ugali..
Maisha Ya Ubachela Unaweza Kuloweka Sufuria Ulopikia Ugali Likakaa Na Maji Wiki Nzima Yakianza Kunuka Unamwaga Halafu Unaweka Tena Maji Mengine..
Maisha Ya ubachela Mara Nyingine Neti Hugeuka Kuwa Hema.. Ikichomekwa Haichomolewi Mpaka Siku Utakapopata Mgeni..
Maisha Ya Ubachela Hufika Kipindi Mtu Unageuka Mbwa, Unanusa Kwanza Nguo Ili Ujue Kama Unaweza Kuipa Round Ya Pili Au Hapana..
*Fahamu maisha ya ubachela*
Maisha ya ubachelor unaweza kujishaua kufululiza kupika msosi hata mwezi mzima ila vyombo visafi vikiisha ndani unarudi kwenye utaratibu ule ule wa kula chipsi na paja la bukujero.Maisha ya ubachela kila siku tunapoteza vijiko kidogo kidogo kwa kumwaga maji ya ukoko wa ugali.
Maisha ya ubachela unaweza kuloweka sufuria ulopikia ugali likakaa na maji wiki nzima yakianza kunuka unamwaga halafu unaweka tena maji mengine.
Maisha ya ubachela mara nyingine neti hugeuka kuwa hema.Ikichomekwa haichomolewi mpaka siku utakapopata mgeni.
Maisha ya ubachela hufika kipindi mtu unageuka mbwa, unanusa kwanza nguo ili ujue kama unaweza kuipa round ya pili au hapana.

Mkuu huo uchafu muogope inzi.Aisee hilo la nguo ndio imekuwa changamoto kwangu,nnaweza kuloweka nguo hadi siku tano bila kufua
hah ha ha, dah hii kali umenikumbusha mda kidgo*Fahamu maisha ya ubachela*
Maisha ya ubachelor unaweza kujishaua kufululiza kupika msosi hata mwezi mzima ila vyombo visafi vikiisha ndani unarudi kwenye utaratibu ule ule wa kula chipsi na paja la bukujero.Maisha ya ubachela kila siku tunapoteza vijiko kidogo kidogo kwa kumwaga maji ya ukoko wa ugali.
Maisha ya ubachela unaweza kuloweka sufuria ulopikia ugali likakaa na maji wiki nzima yakianza kunuka unamwaga halafu unaweka tena maji mengine.
Maisha ya ubachela mara nyingine neti hugeuka kuwa hema.Ikichomekwa haichomolewi mpaka siku utakapopata mgeni.
Maisha ya ubachela hufika kipindi mtu unageuka mbwa, unanusa kwanza nguo ili ujue kama unaweza kuipa round ya pili au hapana.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hakuna kitu sipendi kama kuchomeka na kuchomoa net kulaleki. Toka niichomeke sikumbuk lini natumbukuia na kutoka kama nijnja
Hivi ni lazima kulala ndani ya chandarua? Mimi hata sikumbuki mara ya mwisho lini nimelala ndani ya net.Hakuna kitu sipendi kama kuchomeka na kuchomoa net kulaleki. Toka niichomeke sikumbuk lini natumbukuia na kutoka kama nijnja
Uchafu,uvivu wa mtu anasingizia u-bachelor!Kuna tofauti kati ya kuwa MCHAFU na kuwa bachelor. Mambo yote uliyoyasema hapo juu ni dalili ya mtu mchafu sana na asiyejielewa na kama hayo ndio maisha yako my brother sio sifa nzuri hata kidogo.