Maisha ya tajiri wa dunia Bill Gates

Maisha ya tajiri wa dunia Bill Gates

Namkubali, ila anarudisha kwenye jamii kiasi kiduchu mno mno, ila yeye ndiye wa kuamuwa kiasi gani arudishe, ambacho bila siri anakipata kwa kuuza biashara zake za Microsoft kwa matajiri na maskini...
 
Njoo tupeana ujuzi hapa umejifunza nini kwenye ujio wa Tajiri wa dunia hapa nchini tofauti na baadhi ya matajiri wa Africa?
f6cea625deccb9ec17add98a8daab76e.jpg
af18991550fc075e647e3d0b6d8fce6e.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hypocrite na sadist tu huyu hamna kitu.
 
Huyo ni genius,..akil yake is beyooond,fatilie history yake utajua,ni mtu mwenye akil sana,programer wa ukwel ambae pesa imemfata yeye,hajaitafta pesa,..so kwake mafanikio sio kama mswahil uonavyo,..he is not rich,he is wealth..tofautisha hapo..na ndomana hujaona hata ma bodyguards .akil yake is beyoond wazee,money cant buy
 
" I failed in some subjects in exam, but my friend passed it all. Now he is an engineer in Microsoft and I am the owner of Microsoft". William Henry Gates III aka Bill Gates.

Ila huo wali kwa maharage umenikumbusha "dikodiko" tukiwa jeshini, hapo zamani za kale.
 
HAKIKA MKUU KUNA WATU WANAONGEA SANA KUHUSU MAISHA YA MTU.KILA MTU ANAJUA ANAVYOTAFUTA PESA NA HUWEZI MPANGIA MATUMIZI YAKE AU AINA YA MAISHA.
VIJANA WASIOJIELEWA WA KITANZANIA NDIO WANAOONGOZA KUFUATILIA MAFANIKIO YA WATU MAARUFU NA KUTAKA KUWAPANGIA AINA YA MAISHA KAMA WALIMSAIDIA KUTAFUTA PESA HIZO.
Umenena kweli, kila mtu hufanya na kuishi vile inavyompendeza yeye huwezi mlaumu tajiri kwa kuishi kwake kifahari au kujinyima kwake inategemea na kile kinachompa furaha yeye ndio maana anaishi hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti ya bill gates na matajiri wengine ni kubwa kwa sababu bill gates ameanza kugundua baadhi ya programme katika computer akiwa na miaka 13, pia ameanza kushika pesa bado mdogo umri wa miaka 19,

Matajiri wengine wengi wao hutajirika wakiwa na umri mkubwa 40 - 80 n.k

Watu weusi wengi ambao wamefanikiwa kimaisha huwa na kejeli, majigambo, ulimbukeni, sifa, n.k

Lakini watu weupe huona kawaida kumiliki pesa na wanahitaji kufanya kikubwa zaidi ya hapo alipo.

Bill gates hujitoa sana kusaidia jamii tofauti tofauti, na wenye shida mbali mbali tofauti na matajiri wengine kama aliko dangote, n.k

Bill gates anatumia mkono wa kushoto, wengi wao watu ambao wanatumia mashoto huwa na kitu cha ziada / kipekee katika maisha,
Acha kutoa sifa usizo na uhakika nazo. Maisha ya bill Gates huyajui so acha kupayuka na kuponda matajiri wengine... Dangote kakufanyia ubaya gani hadi umponde? Gates uwekezaji wake ni wa Maisha na hesabu zilizopo asipopata ukichaa au abadilishe maisha aishi kimasikini basi. Kama ilivyo hawezi filisika. Na pesa alizonazo ni nyingi sana na hatoweza kuzimaliza peke yake. Yeye na mkewake ni maamuzi yao sijui kama walishauliwa au waliamua wenyewe kusaidia jamii zote kwa kipato chao fulani kiduchu. So bill sio mtoaji kivile wa kiwango cha utajiri wake.pengine wewe kwa kiwango chako unaweza kuwa unasaidia zaidi ya bill Gates kutokana na kipato chako. Usisifie sana bila kuchunguza undani wa ntu na ntu
 
tuelimishane mkuu ndo inakuwa vp hii..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameinunua hiyo kampuni ya Mosanto, GMO genetically modified organisms wanatengeneza mbegu labaratory na kuuza/kuzisambaza kwa wakulima zina madhara makubwa sana kiafya na hata zinaharibu udongo wa asili.
Zimepingwa vikali sana kwenye nchi nyingi zinakopelekwa so sasa anazileta Afrika na agenda ni population control Bill anasadiki anaeza kucontrol idadi kubwa ya watu hasa anaowaona kuwa hawana faida duniani yani maskini.
The world today has 6.9 billion people and that’s headed up to about 9 billion. If we do a really great job, we could lower that by perhaps 10 or 15 percent.” ~ Bill Gates
 
Mbona hata dangote alikuja simple tu

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Acha kutoa sifa usizo na uhakika nazo. Maisha ya bill Gates huyajui so acha kupayuka na kuponda matajiri wengine... Dangote kakufanyia ubaya gani hadi umponde? Gates uwekezaji wake ni wa Maisha na hesabu zilizopo asipopata ukichaa au abadilishe maisha aishi kimasikini basi. Kama ilivyo hawezi filisika. Na pesa alizonazo ni nyingi sana na hatoweza kuzimaliza peke yake. Yeye na mkewake ni maamuzi yao sijui kama walishauliwa au waliamua wenyewe kusaidia jamii zote kwa kipato chao fulani kiduchu. So bill sio mtoaji kivile wa kiwango cha utajiri wake.pengine wewe kwa kiwango chako unaweza kuwa unasaidia zaidi ya bill Gates kutokana na kipato chako. Usisifie sana bila kuchunguza undani wa ntu na ntu
[emoji2] [emoji1]
Mzee baba naona unatoa povu sana,

Mimi mwenyewe nimesoma kwenye mtandao wa Forbes na linked in ndiyo wameandika hizo taarifa.

Na wewe acha kunihukumu kana kwamba unanifahamu ungepaswa kuuliza chanzo cha taarifa nilizotoa, usikurupuke kusema hovyo hovyo....
 
Njoo tupeana ujuzi hapa umejifunza nini kwenye ujio wa Tajiri wa dunia hapa nchini tofauti na baadhi ya matajiri wa Africa?
f6cea625deccb9ec17add98a8daab76e.jpg
af18991550fc075e647e3d0b6d8fce6e.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maisha ni vile utavyopenda uishi ukitaka kuishi maisha simple utaishi hata kama una fedha nyingi na ukitaka kuishi maisha ya wasiwasi utaishi hata ukiwa na fedha chache utatafuta mabodgad.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom