Maisha ya shule za dini kiislamu

Aiseee wasiokua waislamu mbona mna chuki za ajabu ajabu na Uislamu?
 
Halafu shule zao zikfanya vibaya wanasema serikali inapendelea shule za kikristo, halafu waislamu wasipoteuliwa wanasema kuna upendeleo kwa wakristo, halafu wakiona viongozi wakubwa ni wakristo wanasema nchi hii imejengwa juu ya mfumo wa kikristo.
 
Shule za kiislamu au za BAKWATA?
 
kwa nini kuwe na mfumo unaolazimisha mtoto kuombaomba chakula ili aishi, badala ya kuweka utaratibu wa uhakika wa chakula kwa wote?
 
Wanafunzi watatu😂

Sasa nikuweke sawa,kipindi Cha likizo watoto baadhi wanabaki shule tena wanachanga pesa ya chakula au wakibaki hapo shule chakula kujitegemea,(hii inakuwa makubaliano ya wazazi,) hii naona ni shida ya mzazi,

Kuna shule sec inaitwa St,vincent,tumempeleka last born wetu kwaajili ya tuition,makubaliano yapo hivi,kama mtoto atakula shule kuanzia chai Hadi chakula Cha mchana Ada ni sh,150,000 Kwa mwezi, kama mwanao atasoma tu chakula kujitegemea Ada ni sh,40,000,,,,Sasa hapo maamuzi ni yako mzazi,mwanao akaombeombe au akale bila ya stress.
 

Ndio kawaida ya hawa walokole, akili imejaa tope
Mimi ni mkatoliki.

Lakini Hili nimeliona kwenye shule ya Dini ya kiislamu. Kwenye shule za Dini ukatoliki ni tofauti, Ada ni kubwa ya kutosha kumpikia Kila mwanafunzi Milo mitatu.

Shule za kufundsha Dini ziko ya kiislamu nyingi hawalipii so uwezo wa kipato cha mzazi Ndio utasababisha mtoto Aishi Kwa dhiki au afueni.

Kwa shule nilizozitembelea nyingi zipo hvyo. Na hapa naongelea vyuo vya kidini na Sito shule za kutuo elimu ya circular.
 
Hapa mwishoni ulitakiwa umalizie kwa kusema takbiiiir!
 
Lakini kwanini mtu afungue shule ya bweni alafu chakula kiwe kujitegemea? Au ni tuisheni/program ya muda mfupi?

Sio nzuri.
 
Mie mwenyewe ni muislamu,na hicho nilichokiandika nimeona Kwa wakatoliki,tena nipo kwenye chimbuko la ukatoliki ndaki.
 
Yaani mtoa mada ni mtu punguani usiyeweza kuchambua hata mchele ukajua chuya na mchele safi. Umeshasema shule haitoi huduma ya chakula shuleni, wanafunzi hawana pesa ya kula...hapo shida ni shule ai wazazi wa hao wanafunzi?
Ulivyompumbavu zaidi unaamua kusema ni matatizo ya shule za Kiislam. Fikra yako dhidi ya Uislam ni nini?
Pumbavu.
 
Ndio kawaida ya hawa walokole, akili imejaa tope
Infact nmependa wanavyo ishi, wamet
Nimegusa ardhi hatar kuongelea uislamu. Lkn sina chuki yyte juu ya uislamu.

Shida Sio shule, shida ni mzazi. Lkn shida hio inapatikana shuleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…