moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,940
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Jamaa kagombana na mkewe, akasusa kula[emoji899][emoji510] kurudi kazini kamkuta mkewe amevaa kanga imeandikwa *UKISUSA WENZIO WALA* ilipofika asubuhi mke akavaa kanga imeandikwa *UKITOKA [emoji124][emoji124]MWENZIO ANAINGIA*[emoji126][emoji126] jamaa akagoma kwenda kazini [emoji51][emoji51] mke akabadili kanga na kuvaa iloandikwa *NIMEMDHIBITI NDO MANA HATOKI*[emoji730] jamaa akaenda kuomba ushauri kwa rafiki yake akaambiwa twende nyumbani kwako, walipofika walimkuta mke kavaa kanga imeandikwa *ULIDHANI RAFIKI YAKO KUMBE ADUI YAKO*�� jamaa akaamua kusafiri siku tano ili kupunguza hasira. Aliporudi akamkuta mke amevaa kanga imeandikwa *NI BORA NIMPE JIRANI KULIKO KIOZEE NDANI*
Jamaa yuko ICU!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha na habari ya jamaa aliyekuwa ICU. Hilo pala lako ndio limeniacha hoiHahahaha duuuuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwetu mimi ndio rasta waoAcha na habari ya jamaa aliyekuwa ICU. Hilo pala lako ndio limeniacha hoi
wowJamaa kagombana na mkewe, akasusa kula[emoji899][emoji510] kurudi kazini kamkuta mkewe amevaa kanga imeandikwa *UKISUSA WENZIO WALA* ilipofika asubuhi mke akavaa kanga imeandikwa *UKITOKA [emoji124][emoji124]MWENZIO ANAINGIA*[emoji126][emoji126] jamaa akagoma kwenda kazini [emoji51][emoji51] mke akabadili kanga na kuvaa iloandikwa *NIMEMDHIBITI NDO MANA HATOKI*[emoji730] jamaa akaenda kuomba ushauri kwa rafiki yake akaambiwa twende nyumbani kwako, walipofika walimkuta mke kavaa kanga imeandikwa *ULIDHANI RAFIKI YAKO KUMBE ADUI YAKO*�� jamaa akaamua kusafiri siku tano ili kupunguza hasira. Aliporudi akamkuta mke amevaa kanga imeandikwa *NI BORA NIMPE JIRANI KULIKO KIOZEE NDANI*
Jamaa yuko ICU!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]